TBC1 wamdhihaki Dk Slaa Mkutano wa Mabibo na wanavyuo ktk kipindi cha Fataki la wiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TBC1 wamdhihaki Dk Slaa Mkutano wa Mabibo na wanavyuo ktk kipindi cha Fataki la wiki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by komredi ngosha, Jan 24, 2011.

 1. k

  komredi ngosha JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 379
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kweli sielewi kama kuna watu wana akili timamu. Hawa waigizaji ni njaa au? Dhihaka na vitisho kwa jamii kwa kutumia televisheni ya serikali ktk masuala muhimu ya kitaifa ni upunguani.

  Na ni waongo wakubwa, dk slaa hakutangaza maandamano, lile lilikua kongamano. Watuambie kama TBC1 ni ya CCM au la.

  Sasa nimejua kwa nini Tido Mhando kafukuzwa. Nchi haitatawalika, wanafunzi wa vyuo ndio watendakazi wa serikali wa kesho. Endelezeni bifu lenu, labda muwe mnawaleta kina Lau masha kutoka nje kushika vitengo vyote nchi.
   
 2. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wengine tuko mbali na hizo tv mkuu, tujuze wameoshesha nii....tusimulie japo in brief.
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,948
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  BURIANI TBC1: HUYU MAREHEMU ALIKUA NA NIA NZURI
  MNO NA JAMII YA TANZANIA!!!!!


  Hiyo ndio TBCCM1 aliyokua akiitafuta Nchimbi na Kikwete baada ya kuondolewa Mhe Tido Mhando.

  Sasa hivi na kuendelea mambo NI KUENDESHWA KIUJIMA UJIMA mpaka ki-note kije kutoka CCM makao makuu kwa ma-kada, au ikulu ndio habari fulani itoke kwa sura wanaotaka wao.

  Naililia TBC1 yangu niliyopata kuifahamu miaka hiyo ya akina Mshana na baadaye kutiliwa mbolea ya weledi na Tido Mhando.

  Lakini sasa yote hayo ni historia kama theluji kutoweka pindi jua kali linapochomoza.

  Nenda TBCCM1 nenda tu; kalale salama, starehe kwa amani na upate pumziko la milee machoni mwa jamii ya Tanzania waliopata kukupenda na kukuenzi.
   
 4. D

  Deo JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 1,147
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Hivi sasa nani mkurugezi wa TBC Jane Shirima au Marin Hasan Marin au wote kwa pamoja?
   
 5. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,326
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Komredi, hebu shusha hasira na jazba..
  tueleze kwa urefu nini kimetokea/kimesemwa?
   
 6. T

  Topical JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,177
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tupe habari yote, siyo tafsiri yako..wewe vipi? tupe habari full sisi tutafsiri kama kuna dhihaka au la?
   
 7. m

  mchukiaufisadi JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 541
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  TBC wanaonyesha upumbavu. Wanakejeri maandamano ya CHADEMA. Nachukia sana dhihaka kama hizi. Ipo siku nchi italazimika kusimama kwa muda ili kuondoa wajinga wote kwanza. Ndipo maisha yaendelee
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,523
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Hii channel nilipokuja home niliweka parental guide na kuifunga kabisa so wala sihangaiki nayo hata kidogo!
   
 9. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #9
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,326
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu,
  wameonyesha nini?
   
 10. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #10
  Jan 24, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 9,916
  Likes Received: 3,182
  Trophy Points: 280
  Nilipata kusema Pale ni kituo kizuri kwa ufugaji wa kuku,tukishachoka propanda zao watafuga tu kuku na bata ili plot iwe productive kinyume na hapo hakuna la maana...wapotoshaji wakubwa! Na ni shirika tanzu la CCM...
   
 11. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #11
  Jan 24, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 10,434
  Likes Received: 2,686
  Trophy Points: 280
  Guys I am afraid you may be wasting your time protecting Slaa! you have inclined to CCM agenda of confusing your plans.

  Slaa atatukanwa tu, mpende msipende, ukishasema wewe ni kiongozi wa siasa, jua kuna watu watakupenda na wengine kukutukana, it is asburd kuona kuna watu hawalijui hili.. wakati ukisema JK mtu wa totoz wengine wanasema Slaa mla vya watu!! wakati unasema JK ni fisadi la kutupwa wengine wanasema Slaa aliiba fedha kanisani!!! ...hata kama ni uongo...

  The agenda is to remove CCM from power, agenda is to make sure we are not allowing fisadis kuendelea kukomba uchumi wa nchi. Slaa atatukanwa tu, take my words, not that I am not advocating these behaviours rather I am telling you defending Slaa is a wastage of time... is not our main agenda..

  They killed Mesiah 2000 years ago and he was special man ever lived in this planet!! give me the name of any leader( whether is good or bad) who never encountered resistance of any kind. Grown up people like us ''may be I am not' we are counting it all joy when we hear some people are talking negative against Slaa...yes I am happy he is in the good process of becoming good leader if he real aspiring to be one!!

  Matusi na kejeli vinamjenga zaidi na kumkomaza kuwa kiongozi, kama atachukua nchi.. asije akawa akiwa rais ukimchora katuni tu kama akina kipanya anawaweka jela!!! let him learn, grow ..Dr. Slaa after election is different form Slaa before election, he have grown up.. I can testify that!!!

  kuna walevi hauwaoni kwenye TV wanamtukana Slaa!!1 ndiyo si kipenda roho.. we unafikiri kila mtu anaipenda chadema au slaa..mimi mwenyewe siipendi chadema!!! yet I support them in every good move, utofauti wa binadamu uko wapi then

  So muanzisha maada acha kulialia KUA na wewe...

  kama wewe ni mwana chadema ENEZA INJILI YA UKOMBOZI, HAKIKISHA KILA SIKU UNAWAPATA WAWILI WATATU

  Leo hata mimi nikitaka urais nitatafutiwa zengwe tu na watu wataliamini, hivyo NI VIJIMAMBO YA KAWAIDA SANA KWENYE SIASA.. fuatilia hata siasa za nje...

  kama uko serious sana...just ignore them!!

  Kulia lia hapa hakusaidii kitu... unataka tufanye nini eti??
   
 12. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #12
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,948
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nakupata Mzee Waberoya lakini si kwa chombo cha habari kutumika kumtukana kwa gharama ya kodi yangu. Watumie vyombo binafsi kwa hiki chombo ni cha wananchi pamoja wale waliogeuka magazeti ya udaku kule TSN.
   
 13. N

  Nyumbu- JF-Expert Member

  #13
  Jan 24, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 943
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 60
  Samweli Sitta alipata kusema kwamba ukiwa mwanasiasa lazima uwe na ngozi ngumu....nakubaliana na Waberoya, tusijadili hizi ishu ndogondogo, let's focus on the real problem:UFISADI na USULTANI!
   
 14. k

  komredi ngosha JF-Expert Member

  #14
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 379
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wamemuigiza Dk slaa akihutubia kongamano la juzi la Mabibo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu. Ameonekana akikemea maovu ya CCM kama dowans na richmond then kuwataka wanavyuo kuandamana, akiwahakikishia hawatafanywa kitu na hata wakikamatwa yeye ni mwanasheria atawatetea na ni lazima nchi isitawalike. Pia wameonesha katika maandamano hayo Dk slaa aliwatoroka na kuwatosa. Mbeleni walitokea polisi na kuwapiga vibaya then kila alieenda kwake alipokelewa kwa lawama za kwa nini alijihusisha kuipinga serikali, na hiyo ni halali yake kupigwa! Nimesikia kichefu chefu sana kwa habari, ccm inavuka mipaka. Inasahau wanafunzi wa vyuo hatudanganyiki, tunajua kupambanua mambo. Hata wapige propaganda washapoteza haiba yao kwa wasomi
   
 15. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #15
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,909
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Sioni kinachokuumiza kwa sababu hakuna narudia hakuna hata sikumoja TBC ilisimama upande wa chadema.dawa yake ni chadema kuwa na TV yake.
   
 16. F

  FredKavishe Verified User

  #16
  Jan 24, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  umenifurahisha
   
 17. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #17
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,176
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Siasa ni fitna, na fitna ni pana. Moja ya fitna katika siasa ni kuchafuana, kunukishana ili ikiwezekana chama au mtu mwenyewe apoteze imani kwa wananchi ambao ndiyo wapiga kura. Na ndiyo maana sikushangaa UVCCM walivyomtukana Slaa live!
   
 18. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #18
  Jan 24, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,358
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Dah,mkuu nime kuinulia mikono juu!
  Umenena ukweli haswaaaaa,maana tukikaa kusema nani kamtukana tutachoka coz matusi yanakuja zaidi na zaidi!

  What we need ni kuelewa kwamba they are all going to shape him,kama ulivo sema asije kuchorwa katuni akiwa raisi akawafunga walomchora!

  Am sure anajua kua lazima atukanwe,lazima akashifiwe na lazima apakwe matope sana ndo maana pale mabibo sikumsikia akilalamika kuambiwa na uvccm kuwa kapora mke wa mtu!

  You have said it,ila naamini kuna watu wanatumia 1% ya uwezo wao wa kutafakari wata kutukana balaa!

  Dr.Slaa,.....
  show us that you can endure this because more insults and humiliations are on the way,consider yourself as gold which needs to be purified and it must pass through fire
   
 19. k

  komredi ngosha JF-Expert Member

  #19
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 379
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hata mimi nimeipenda sana hyo
   
 20. k

  komredi ngosha JF-Expert Member

  #20
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 379
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  perfect! Kweli wewe ni great thinker. ila inaniuma mali za serikali nayolipia kodi kutumiwa na chama .
   
Loading...