TBC1 Waige KBC1

kilosaboy

Senior Member
May 16, 2018
189
232
Leo KBC1 TV ya Kenya ilikua inaonesha mechi ya Simba na As Vita mbashara. Lkn TBC1 wao wanaomboleza. Ckatai kuomboleza Lkn issue Kama hii wae wanaonesha live. Nchi jirani wanaonesha lkn wao Kuonesha kishindo cha awamu ya 5. Ryoba onesha mabadiliko huko TBC.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom