TBC1 waandaa mpango wa kuichafua CHADEMA

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,275
1,195
Kadri siku zinavyoenda nguvu za Chadema za kupata katiba mpya linapata kasi
Sasa hivi kuna mpango unasukwa wa kudidimiza hoja za CDM ili wapoteze imani kwa
watanzania kuwa CDM kudai katiba haina maana.

TBC1 wanasuka mpango wa kushinikiza hoja za kupikwa zinazoelekezwa kwa zitto kuzifanya za kweli, Muda si mrefu ataona TBC wanamhoji Zitto tena

TBC1 imetumika sana na MCC na sio kwa masirahi ya TAifa

Stay Tuned
 
Nzi

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
13,930
2,000
Source please! Don't be a great whisper. Be a great thinker.
 
Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,979
2,000
Kings tuambie umezipata wapi hizi habari? Tuthibitishie ili tujue kuwa TBC1 ni mali ya ccm au ya serikali.
 
Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,064
0
Umetuacha hewani kiasi kwamba tunashindwa kuchangia kwa kina, umeileta habari hii kama tetesi
 
Derimto

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
1,308
1,500
Kings tuambie umezipata wapi hizi habari? Tuthibitishie ili tujue kuwa TBC1 ni mali ya ccm au ya serikali.

Nadhani kama umeachwa mbali kidogo kwani kampeni za urais za jk. Zilitumia magari na fedha zipi? Ccm.ndiyo serikali na tbc ni ya ccm yaani chama na serikali ni pete na kidole.
Pole samaki.
 
Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,979
2,000
Nadhani kama umeachwa mbali kidogo kwani kampeni za urais za jk. Zilitumia magari na fedha zipi? Ccm.ndiyo serikali na tbc ni ya ccm yaani chama na serikali ni pete na kidole.
Pole samaki.Nimekusoma.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom