Tbc1 uchakachuaji wa shughuri ya chadema kumtunuku sabodo

Shapecha

Member
Oct 21, 2010
45
1
Leo TBC ilipokua inatangaza shughuri ya CDM kumtunuku Sabodo ilianza kuongele mapasuko wa uongozi ndani ya CDM badala habari ya kutunukiwa sabodo which means kama ingekua ni gazeti heading yake ingeandikwa hivi MTEI AKANA MPASUKO WA UONGOZI CHADEMA.

TV nyingine zote zilitangaza shughuri mahususi lakini TBC walitumwa pale kwenda kuulizia mpasuko wa kisiasa na kuifanya ndiyo habari ila siyo kutunukiwa sabodo. kweli hii TV ipo chini ya CCM.

Ni mtazamo tu
 
Tbc ilishapoteza dira bora hata gazeti la uhuru. Crap tv tido rudi uk unapoteza sifa
 
Ninatofautiana na nyie. Nimeangalia itv na tbc1 taarifa zao. Tbc wako deep zaid ya itv ktk taarifa. Japo walianza na mpasuko, waliongelea mengi zaidi ya itv
 
Jamani!! Kwa nini wanasiasa wameanza kutia mchanga kazi nzuri na heshma wa KITAALUM ambayo Tido Mhando alichukua muda mwingi kuujenga pale???? Masikini TBC1!!!
 
Ni aibu sana kwa chombo cha umma kuegemea wazi wazi kwa chama tawala ili mradi baada ya muda ulaji kwa hawa watangazaji na wahariri feki kupata nafasi za uongozi serikalini.....Shame on TBC
 
Back
Top Bottom