TBC1 (television ya taifa) wanapotosha taarifa kwa umma... Why? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TBC1 (television ya taifa) wanapotosha taarifa kwa umma... Why?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mr. Clean, Nov 22, 2011.

 1. M

  Mr. Clean Senior Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nimebahatika kuangalia taarifa ya habari ya channel ya MLIMANI TV leo jioni,
  mojawapo ya walozungumzia ni tamko la Jukwaa la Katiba, kwakweli hii tv imeonesha taarifa kwa ukamilifu na kwa mapana hasa, ikiwemo tamko la kuandamana alotoa kibamba, pia kazungumza nkya na mama wa tgnp (lussu)

  nkajaona pia taarifa
  ya ITVz, ambayo imeonesha tamko la maandamano, zaidi pia wakasema breaknews kuwa JK kakubali kukutana na CHADEMA!

  sasa nakajaangalia hawa television ya
  ccm TBC1, wao wakasema ati jukwaa la katiba limesema wananchi wajitokeze kutoa maoni ya katiba, tena it was very short, badala yakuonesha watoa mada, yeye msoma taarifa ya habari ndo kawasemea! pia wakamhoji Nepi nnauye akiwa ukutani tena mafichoni kwani microphone ilikuwa moja tuu ya TBC1, nape akasema kamatikuu ya ccm atakaa kujadili tamko la chadema kukutana na mwenyekiti wao!

  mie najiuliza,
  chadema walisema watakutana na rais (amri jeshi mkuu) tena kwa kusisitiza kuwa sio mwenyekiti wa ccm, sasa mbona TBC1 na ccm wanapotosha umma kwa kutangaza uozo wa habari? so wale wasokuwa na vyanzo vingine vya habari si hawajui kuwa kumeandaliwa maandamano ili wajipange kushiriki?, si hawajui kuwa jk atakutana na chadema?!

  TBC acheni propaganda, mjue mnatumia kodi zetu, toeni taarifa ili umma uelewe uhalisia wa matukio ya nchi yetu!
   
 2. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  wanaboa tbc toka tido atoke..
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Tbc walishaoza na hawako tayari kuingia kwny ulimwengu wa ushindani kwa mantiki ya credibility ya habari. Wanachojua wao ni kuwa inyeshe au isinyeshe watapata mshahara.
  Hawajui kuwa kazi ni zaid ya mshahara! puuuuuf!
   
 4. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Tulishawazoea hao.
   
 5. B

  Bob G JF Bronze Member

  #5
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  tbc ni tv ya Magamba! siku zao zina hesabika, Inashangaza tv ya umma inapotosha habari!
   
 6. damper

  damper JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 207
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  imekuwa kodi zetu kodi zetu wimbo wa kipuuzi watu wafanye kazi kwa kukufurahisha wewe na bwana zako!! Andamana wewe kwa manufaa yako.
   
 7. BONGE BONGE

  BONGE BONGE JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 1,522
  Trophy Points: 280
  ......umahiri wa TBC1 uliishia kwenye vipindi vya mchakato majimboni, vilivyomwondoa Tido, nowadays ina-bore tu
   
 8. M

  Mr. Clean Senior Member

  #8
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Amakweli majina tunayotumia yanamdiscribe mhusika!

  liwe la kimila au la vitabu vitakatifu!

  sioni kwanini usiseme hivyo ilhali weye ni rubbish a.k.a garbage!

  pamebakia shimo kila taka labebwa na weye damper..........!
   
 9. dufoe

  dufoe Member

  #9
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani hujui kuwa mkurugezi wa TBC1anateuliwa na rais? SCRIPT zao lazima ma oditor wazipitie vizuri wasije WAKATIDOLIZED
   
 10. K

  Konya JF-Expert Member

  #10
  Nov 22, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 920
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  walishapewa hadidu za rejea na mkulu we ulitegemea nini
   
 11. Linyakalumbi

  Linyakalumbi JF-Expert Member

  #11
  Nov 23, 2011
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  T.B.C---------Tanzania Bora Changudoa
   
 12. c

  cheichei2010 JF-Expert Member

  #12
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kwakweli TBC inabidi iliombe Taifa radhi.Mie nimesikiliza taarifa ya habari channel 10,Tukawasikia wanaharakati wakisisitiza maandamano ya amani na pia mama Nkya akasisitiza polisi waende na Blassband kunogesha maandamano, cha ajabu TBC wakasema mama Nkya kaunga mkono mchakato wa katiba unaoendelea.tulikua tuko hotelini tukiangalia hiyo taarifa, basi nikaanza kuwaambia watu kwa nguvu jinsi TBC walivyoipotosha hiyo habari.Nilipotoka nje ya hotel kuna jamaa akanifuata kujifanya ananifahamu tangu mkoani nilikosoma,na kujifanya tulikua shule moja.ikabidi na mie nimtumie meneja wa hotel kumjua vizuri,maana alionekana ni wale wa upande wa pili.Kwakweli huu upotoshaji wa leo umenitibua sana.nawaombeni wana jf mfuatilie marudio ya taarifa hizo asubuhi ili muelewe kinachoendelea.yaani ni aibu tupu.ikiwezekana waandishi wengine wa habari waiponde habari hii ya TBC nawahakikishieni watz wataacha kuingalia.
   
 13. u

  ukweli2 Member

  #13
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  ukweli;;;;ccm=chama tawala
  tbc ipo ndani ya tz inaongoza na utawala wa.....
  so tbc=______.
   
 14. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #14
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  TBC kwa ccm ni sawa na yule mtoto wa Gadaf aliyekuwa akijigamba sana hilu akijua mwisho wa babaye ulivo. hata kama ungekuwa ni wewe ungekubali kukitia mchanga kitumbua chako.
   
 15. u

  utantambua JF-Expert Member

  #15
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Trash Broadcasting Corporation (TBC)
   
 16. N

  Ngoiva JF-Expert Member

  #16
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unanikumbusha Tido mhando alivyotimuliwa kama kibaka.
   
 17. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #17
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Hiyo kodi unalipa peke yako? Ulivyokuwa akili ukwaju unataka TBC kila siku wamuonyeshe a loser Dr Slaa na Mbowe wanafanya maandamano
   
 18. S

  Sagamikotdt Member

  #18
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ninawashauri ndugu zangu watangazaji kwamba ingawa mko kazini lakini pia mnatambulishwa kwa imani zenu, ni vema mkaongozwa na dhamiri zenu mfanyapo hayo. Hakutakuwa na kujitetea kwamba nilifundishwa uongo
   
 19. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #19
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Kwa vile ni waongo na wanafiki, utasikia wanajihami kwa slogan ya "ukweli na uhakika!" Ukweli upi wa kuficha mambo? Bora kuelewa kwamba ukitaka taarifa za uhakika usiitegemee tbc.
   
 20. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #20
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  TBC ni television ya taifa sio kila upupu wa mitaani wauoyeshe..

  Kama unataka kufurahishwa fungua tv yako kila siku uonyeshe maandamano ya Chadema
   
Loading...