Kasheshe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2007
- 4,695
- 785
TBC wanaonyesha Watanzania kwamba kila jambo linawezekana!
Channel yao TBC1 sasa inaonekana kwa watumiaji wa DSTV popote Africa... kupitia channel no. 143. ya DSTv.
Kwa kweli mimi nawapongeza wenzetu hawa ambao wameona kwamba hakuna haja ya kuachwa nyuma bila sababu yoyote... Kudos Management & Staff of Tanzania Broadcasting Corporation.
Ingawa mawasiliano yalikatika muda mfupi baadaye... nadhani baada ya mkongo mkuu wa EASSy utakapokuwa umekamilika mambo yatakuwa mazuri.