TBC1 na zawadi za wasanii... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TBC1 na zawadi za wasanii...

Discussion in 'Entertainment' started by Twande, Dec 31, 2009.

 1. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2009
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nawasalimu wana Jf...na kujiunga rasmi kuwa mchangiaji mana nilikuwa msomaji zaidi..kwa kweli tuzo za injili kama mwana Jf mmoja alivokwishapost na watu wakacomment juu ya hili na kugundua si pekeyangu zilieniudhi! mjadala ulihusu tuzo tu, nimeona niweke kero za ile tuzo.. niliguswa sana siku walipomtangaza Bahat Bukuku wa tatu na elf 50...then walimwita mheshimiwa kukabidhi iyo amount!!

  Kwa kweli iliniuma kwa niaba ya Bahati! Kwanza nilipenda ashinde..pili nikakubali matokeo...but kumpa elf hamsin ni dhihaka na kuvunja moyo sana hawa waimbaji jamani..kwa ujumla zawadi zote zilikuwa hazilingani na jinsi walivochukua siku tatu zote wanachukua pesa zetu tunapiga kura na kuchukua muda wao..watu wameshachangia kama mawazo yangu.. Kwamba ile tu stage ya mwisho ni zaidi ya watu elfu 20 walopiga kura! Mbona ukihesabu toka day one pesa waloingiza ni nyingi sana kuliko kiasi wanachowapa watu walotumia mgongo wao kupata izo pesa!!

  Waliwadhalilisha kwa sababu kwanza, wanajua wenyewe wanavopata pesa kwa vipaji vyao awakuwaomba, pili wote ni waimbaji wazuri sana ona tu kura zilivopishana kidogo kwaiyo kuwarank unavunnja moyo wa wengine kwa malipo nothing.. Unafikiri ungemwambia tunakushindanisha Bahati kwa amount hii angeacha kujitoa kwenye shindano?? Nimeckia walikuja kubadili amount..but tayari wameharibu na sidhan ata iyo amount ya pili itafuta machozi yetu..nina imani wengi tuliumia katika hili...mana nilokaa nao wote walitahayari lol..nawapenda sana wangeanza Bahati, then Solomon, alafu Rose... But Rose nae mzuri tumekubali matokeo..niLitamani ningekuwa yule muheshimiwa siku ile nitop up izo amount lol...
   
 2. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2009
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,149
  Likes Received: 23,825
  Trophy Points: 280
  Mimi nadhani bado nina hangover ya xmass na mwaka mpya.I have no clue of what this guy is talking about.
   
 3. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2009
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ooohh real??? Pole yegomasika.
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Jan 1, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  kwanza sio tbc walionzisha hizo tuzo..
  ni watu wa msama promotions au mama rwakatare
  i am not sure,but i am sure sio tbc.
   
Loading...