TBC1 Mpira wa Wabunge Live Lakini Bunge Hapana Mnaogopa Nini

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Habari wana jf

leo tumeona mechi ya simba na yanga (wabunge) live kutoka chanel ya tbc1 Televisheni yetu ya Taifa imekua rahisi sana kuonyesha mechi ya mpira wa miguu ya Wabunge kuliko kuonyesha kwa Watanzania nini kinaendelea Bungeni na watanzania kukiona live

Swali je hapa ndio Tanzania Tumefikia Wasiwasi niwanini mpaka kutoonyesha Bunge Live? Nini kimejificha nyuma ya Pazia?
 
Ndo priorities zao, its sad!
Toka lini mwananchi akacare more about mechi ya wabunge kuliko kujua kinachojiri bungeni.
 
Ndala ni kwa matumizi ya bafuni tu. Ukienda navyo stand lazima ukanyagwe tu
 
Hatuwezi kuonesha matusi ya Wabunge wa Upinzani. Bora tuoneshe hata Maisha Plus!
 
Juzi ofc tulikuwa tupeleke tangazo ambalo litatangazwa kwa kipindi cha mwezi mzima wa Oktoba kwenye television stations kama 5 au 6 ivi...
Nilipoletewa ile proposal nikaona wemeweka na TBC.. Nikaikatia mbali...!!
 
Habari wana jf

leo tumeona mechi ya simba na yanga (wabunge) live kutoka chanel ya tbc1 Televisheni yetu ya Taifa imekua rahisi sana kuonyesha mechi ya mpira wa miguu ya Wabunge kuliko kuonyesha kwa Watanzania nini kinaendelea Bungeni na watanzania kukiona live

Swali je hapa ndio Tanzania Tumefikia Wasiwasi niwanini mpaka kutoonyesha Bunge Live? Nini kimejificha nyuma ya Pazia?
Hii taarifa imetolewa na mtu mwenye mtindio wa ubongo. Mtu mwenye mtindio wa ubongo huwa na kawaida ya kung'ang'ania jambo au kitu kimoja kwa muda mrefu bila kujua kuwa sasa hivi kwenye akili amehamia kushughulika na swala lingine.
Sasa hivi swala ni kukabili athari za tetemeko huko Kagera, lakini taahira bado yupo na Bunge kurushwa mubashara.
 
Juzi ofc tulikuwa tupeleke tangazo ambalo litatangazwa kwa kipindi cha mwezi mzima wa Oktoba kwenye television stations kama 5 au 6 ivi...
Nilipoletewa ile proposal nikaona wemeweka na TBC.. Nikaikatia mbali...!!
Kwani kigezo ili kuwa ni majina ya Tv au usikivu wake. Utakuwa umepata hasara kwa huo upuuzi wako kutokusikika maeneo mengi ambayo TBC pekee husikika na kuonekana.
Kwa kuwa ulijua wewe pekee ni wazi kuwa roho ilikuuma ulipoona hakuna muda TBC ilisimama na kusema tunapiga mziki kwa kuwa hakuna matangazo. Pia roho inakuuma kutokusikia wafanyakazi wa TBC wakilia hawana Mshahara kwa kuwa matangazo yameshuka
 
Back
Top Bottom