Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
birds with same feathers fly together!
ROBERT MUGABE yule ambae wote tunamjua na tumemsoma mara nyingi yuko dar es salaam kupongeza kikwete.
lakini Mugabe ni dikteta, kitendo cha kumualika tunajaribu kusema nini kwa dunia? tunakumbuka rais bashir alivyoalikwa kenya?
lakini Mugabe ni dikteta, kitendo cha kumualika tunajaribu kusema nini kwa dunia? tunakumbuka rais bashir alivyoalikwa kenya?
hii ni kwa mujibu wa nani? mugabe ni shujaa mpigania uhuru na kiongozi aliyesimama kuupinga ubeberu na unyanyasaji wa watu wanyonge wa zimbabwe kwa kupigania ardhi ya masikini.
Kibaki=Mugabe=JK
Naona tunafanana kiaina
Nyerere alikua shujaa wetu, lakini kama angekua hai leo, akawa anaumiza, anaua, anafunga wanaompinga, akawa anatawala kimabavu, kama afanyavyo mugabe, bado nyerere tungeendelea kumwita shujaa?
sikia ndugu yangu, Mugabe wa miaka ya themanini sio Mugabe huyu wa leo, ni sawa tu na mtu. anaweza kuwa muumini mzuri wa dini leo, akawa shehe au mchungaji, kesho akakengeuka akaicha njia ya Mungu na kuwa jambazi, bado ataendelea kuwa muumini wa Mungu kwa sababu huko nyuma alikua hivyo? Mugabe amekengeuka, ameiacha njia iliyompeleka madarakani, wazimbabwe hawamtaki tena na anawatala kinguvu. . .simple HE'S A DICTATOR!
Kibaki=Mugabe=JK
Naona tunafanana kiaina
Al Bashir hakualikwa?