TBC1 jamani inanitesa!

Museven

JF-Expert Member
Aug 22, 2011
629
447
Mimi natumia dish kupokea matangazo ya tv (free on air). Tbc1 inashika lakini inakwama mno. Nimebadili LNB mara kadhaa bila mafanikio. Tatizo ni nini?
 
mkuu pole kwa kuumiza kichwa.nakuomba utulie wala usihangaike kuitafuta.tbc hamna chochote cha maana.sanasana itakupandisha hasira na kukuhalibia siku.wewe ni sawa na mtoto anaye lilia wembe
 
Upo wapi?leo nimetoka kumfungia mu dish maeneo ya nzega hakuna utata.upo mkoa gani?me nipo tabora.
 
Mimi natumia dish kupokea matangazo ya tv (free on air). Tbc1 inashika lakini inakwama mno. Nimebadili LNB mara kadhaa bila mafanikio. Tatizo ni nini?

tatizo la kitaifa hilo mkuu. maeneo mengine hupati kabisa hiyo tbc1
 
Mimi natumia dish kupokea matangazo ya tv (free on air). Tbc1 inashika lakini inakwama mno. Nimebadili LNB mara kadhaa bila mafanikio. Tatizo ni nini?
Mimi binafsi nimeamua kuacha kutazama TBC1, huwa natazama KBC1 wakenya wana vipindi vizuri sana tofauti na TBC1, yani hata taarifa ya habari natazama ya KBC1.
 
Mimi natumia dish kupokea matangazo ya tv (free on air). Tbc1 inashika lakini inakwama mno. Nimebadili LNB mara kadhaa bila mafanikio. Tatizo ni nini?
Itakuwa ni settings za hilo dish lako tu kama LNB ziko fresh. Lakini usihangaike kihivyo hakuna la maana TBC1 zaidi ya upuuzi mtupu.
 
nipo Kahama hapa.

ungekuwa nzega ningekusaidia kwa urahisi zaid huwa naenda mara kwa mara kwa shughuli za kufunga madish,na hata jana nilikuwa huko.mtafute fund mjanja atakusaidia.ila kumbuka TBC hawana jipya kabisaaaaa..j..
 
Mimi natumia dish kupokea matangazo ya tv (free on air). Tbc1 inashika lakini inakwama mno. Nimebadili LNB mara kadhaa bila mafanikio. Tatizo ni nini?
tbc hamna kitu. wala usipate presha, hamna unachopoteza mu7
 
Hivi dish likiwa na kutu kiasi fulani, haiwezi kuwa chanzo cha tatizo?
 
Mkubwa nakushauri achana na TBC1,sasa hivi imekuwa sio channel tena ya wanyonge na walipa kodi wazalendo wa Tanzania.Imekuwa ikitoa habari zenye manufaa binafsi hili limetokana na kutokuwepo Msomi na Mkweli wa habari aliyefanya kazi kwa muda mrefu BBC si mwingine ni TIDO MUHANDO.Ni mara mia fungulia siku zote redio wapo,na angalia ITV,na STAR TVangalau utapata habari yenye ukweli na mustakabali wa nchi yako ya baadaye.TBC1 siku hizi inaitwa TV ya Uwongo na sio ya ukweli kama inavyo jinadi yenyewe kwamba ukweli na uhakika,ila wana JF tunasema TBC1 ni UWONGO NA SIO UHAKIKA.
 
We tizo mi nipo hapa nzega TbC siipat nipe ushaur, na Ch.10 inakatakata sana, kwenu huko vp?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom