TBC1 huwa inakufurahisha kwenye kipindi kipi? Labda mimi tu ndo huwa siielewi

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Wajameni leo ninalo langu.

TBC1 n kati ya television ambayo kwakweli sinaga hamu nayo kabisa kwenye vipindi vyao vyote. Na pia huwa siziamini habari zake zote ndo maana huwa siitizami.

Nikienda kwa mtu kawasha TBC1 huwa naanza kuchart tu kwenye simu yangu.

Mwenzangu unaipenda TBC1 kwa lipi?
 
Ipo king'amuzi gani iyo channel!? Ni ya mpira, katuni au muvi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom