CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,358
- 6,422
Wataalamu, naomba msaada, mimi ninatumia dish bado katika kupata matangazo ya TBC1, TBC1 haipatikani. Naomba mwenye kujua frequency anisaidie kama kuna mabadiliko. SHUKRANI.
kaka hakuna mabadiliko ya frequence wala symbrate,ila nahisi yategemea na receiver gani unatumia,na dish size gani,jana nimeipata kwenye mesh ya ft 8 na euro star mpeg 4 receiver bila shida kaka,maana wanaotumia media com 930 na dish za ft 6,kuipata ni tatizo kaka
Mr nictbb kwa uzoefu wako,je ni vigumu sana kupata Amos 5 satellite kwa dish la 90cm kwa Dar?
kuipata amos 5 kwa dish la cm 90 ni rahisi.
Naweza pata wapi hiyo receiver kama yako?kaka hakuna mabadiliko ya frequence wala symbrate,ila nahisi yategemea na receiver gani unatumia,na dish size gani,jana nimeipata kwenye mesh ya ft 8 na euro star mpeg 4 receiver bila shida kaka,maana wanaotumia media com 930 na dish za ft 6,kuipata ni tatizo kaka
Naweza pata wapi hiyo receiver kama yako?
MR. MAVELLA Dish langu kwa sasa linatega Eutelsat 36A/B at 36 degrees. Je,ktk hyo setting ili niweze kuinasa AMOS 5,NIFANYEJE dish? Je nipandishe zaidi kutoka hapo lilipo bila kuzungusha au inabidi nzungushe tena dish? Na kama si kat ya hayo basi nielekeze muelekeo wake ukae vipi. Tafadhali.
unatumia receiva ipi?kama ni mpeg4 hauitaji receiva nyingine elekeza dish yako dstv kisha nipm nikupe ishu
dah jamani nasikia kuna mabadiliko ya frequence ya tbc kama kuna mtu kazipata naomba anijulishe
mabadiliko ya frequency za satelite tbc 1 kuanzia tar 9 august 2013.
1.symbol rate=3.072ms/s. Hivyo matangazo ya tbc 1 yatapatikana ndani na nje ya tanzania kupitia satelite ya intelsat 900-64.2'e
down frequency; 3892 mhz
symbol rate; 3.072 mbps badala ya 4.445mbps
fec; 1.5( forward error correction)
polarisation; vertical
wajulisheni wadau wanaopata shida kuipata tbc1.