johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,616
- 141,445
Hongera shirika letu bora la utangazaji Tanzania kwa kutimiza miaka 10, kutoka ile TVT ya Pascal Mayala hadi TBC ya Tido Mhando na sasa Dr Ayoub Ryoba. Ahsante!

Alikuwa gwiji la habari!Pascal Mayalla naye alikuwa Mkurugenzi? maana naona list yako hao wawili walikuwa wakurugenzi
Una umri gani mkuu?!TVT kipindi hicho wanatangaza habari wamevaa magome au vitenge
Ipo mkuu na itaendelea kuwepo!Hivi bado TBC ipo??
Hongera shirika letu bora la utangazaji Tanzania kwa kutimiza miaka 10, kutoka ile TVT ya Pascal Mayala hadi TBC ya Tido Mhando na sasa Dr Ayoub Ryoba. Ahsante!
Hahah!! Kwani vp mkuu?Una umri gani mkuu?!
Ndipo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia?!!.......hakukosea aliyawaita MAKARAI!Kwahiyo tufanyaje?pelekeni usengeee wenu **** nina zenu.