TBC redio wamekatisha matangazo ya bunge na kujiunga na uzinduzi wa daraja la kigamboni hii ni sahihi kweli kuwanyima wananchi kusikiliza bunge lao
Uzinduzi wa daraja ni jambo linalofanywa mara moja tu na pia ni suala la kitaifa. Bunge linaendelea na pia vituo vingine vipo. Jamani kuna mengi mazito ya kujadili humu ndani tache kuwa PETTY.TBC redio wamekatisha matangazo ya bunge na kujiunga na uzinduzi wa daraja la kigamboni hii ni sahihi kweli kuwanyima wananchi kusikiliza bunge lao
Umesema...???? Mzma kwel wewe???Uzinduzi wa daraja ni muhimu zaidi...baba
TBC si ziko Mbili? TBC TAIFA NA TBC FM, kwa nini wasingeabakiza moja na moja ikawa huku na kuleUzinduzi wa daraja ni jambo linalofanywa mara moja tu na pia ni suala la kitaifa. Bunge linaendelea na pia vituo vingine vipo. Jamani kuna mengi mazito ya kujadili humu ndani tache kuwa PETTY.
Poa tu...TBC redio wamekatisha matangazo ya bunge na kujiunga na uzinduzi wa daraja la kigamboni hii ni sahihi kweli kuwanyima wananchi kusikiliza bunge lao