mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,276
- 12,335
Mkurugenzi mkuu wa TBC amekanusha habari zinazoenea mitandaoni zikihusisha tetesi kuwa mwandishi wa habari za biashara Gloria Michael amefariki. Taarifa kwenye platforms za Tbconline kwenye mitandao ya fb na instergram imeeleza.
Aidha, mkurugenzi huyo kwenye chapisho jingine kupitia kurasa hizo za TBC online amethibitisha vifo vya wafanyakazi wa wili moja ni mtangazaji Haonga na mwingine ni meneja tehema.
Pia mkurugenzi mawasaliano ikulu ndugu msigwa amethibitisha hilo kupitia ukurasa wake binafsi wa Facebook
Hili linakuja baada ya watu wasio wazalendo hasa Kigogo na Mange kuanza kuwazushia kifo baadhi ya wafanyakazi wa TBC
Waambieni TBC Tupo vizuri zaidi ya jana
Update
Gloria Michael amejitokeza hadharani kukanusha huo uvumi
Mnaouzusha huko Twitter