TBC Walimuita Tundu Lissu wa nini kama wanamuogopa?

Huyu mshana hana lolote aliwanyanyasa sana waandishi wa habari alipokuwa maelezo,akiwapendelea baadhi na wengi akiwabania sasa kupewa hiyo TV ndio kabisaa anaendeleza kitabia chake hicho anadhani atakaa hapo milele,ammulize Tido alidhani kafika wakamla kichwa,mwenye CV yake tafadhali tusije mlaumu kumbe ni kilaza tu.
 
nasikia iliwekwa cctv badala yake, sasa muda ulioisha ni upi?wa kuzungumzia mambo ya nchini mwetu na kuweka ya nje kupitia cctv? nadhani mambo yetu ndo muhimu zaidi kuliko za nje, tbc kuna tatizo

Kumbe na wew uliiona move nzima. Unafiki tu umejaa TBC.
 
Tundu ni Lissu ni sime inakata pande zote 2 na hapo TBC walikuwa wamenasa pabaya .Lazima wazime tu mtambo .
 
Kipindi akikukatwa bali muda ulikwisha. Pa yule mtangazaji amekiendesha vizuri ingawa yule kijana mwakilishi wa Takukuru alikuwa na hoja za kukariri
Kipindi kilikatwa saa 1:54 zikiwa zimesalia dakika 6 ili kiishe. Kwanza kilichonisikitisha ni kwamba mtangazaji baada ya kuona mgeni toka TAKUKURU anazidiwa na hoja za Lisu akachukua jukumu la kumsaidia. Hata hivyo wote hawakufua dafu na alipoona ngoma inazidi kuwa nzito ndipo akakatisha kipindi akiwa na sura ya woga uliopitiliza. Shame!
 
Back
Top Bottom