Tbc vipi matangazo yenu hayana sauti waha jamaa ni aibu ya taifa

Niliwahi kusikia mh.Nkamia analalamikia uhaba wa fedha kuendesha shirika hilo, na kwamba TBC yaweza kufungwa.
 
Chaajabu watu wanalalamika kila siku lakini hakuna hata mabadiliko yoyote. Hapo wameingia ubia na wachina lakini hali ni mbovu ya taarifa ya habari.
 
TBC haiishi vituko
au imeamua kuwa komedi TV laivu?

Mie nilidhani TV yangu ya kichina koo lake limekwama, nikaimwagia tangawizi lya unga akini haikufaa kitu.

Kwani TBC wako analojia au digital? Au bado wako ABACUS?
 
Matechnicians wa tbc wametangaza mgomo kuanzia leo baada kukosa posho na stahiri mbalimbali, madhara yake ndo hayo! Tbc iko taabani kifedha, source the original comedy na Juma Mkamia
 
Haka kamchezo kanachofanywa nawa2wazma wenye familia tena wanavaa suti madai wanaenda kazini alafu wanafka kuzma matangazo pale jambo lamsing likiwa limepewa uzto..prof 2days 20hr news wamekata sauti na bila haibu wanaendeleza kusoma habar..poor u tbc"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom