Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Wakuuu
Nimeandika mara nyingi hapa na nitaendellea kuandika labda kuna siku wahusika wataaambiwa. Zaidi ya kuandika kuna siku nilishwapigia simu. Hili ni shirika shirika la TBC linalotakiwa kuwa mfano bora wa matumizi ya ICT. Siweiz kuyasema mashirika kama ITV au startv sababu ni ya watu binafsi.
Sasa TBC Wana tatizo gani?
Kwa muda wa siku kama nne au tano tovuti ya tbc haikuwa hewani. BAsi nikadhani wako kambi watakuja na kitu bomba zaidi. Leo najaribu naona kwenye tovuti walichoongeza ni Slider . Kwa weli kwangu ni kichekesho na aibu kwa shirika la habari la taifa . Sijui nyie mnasemaje...........
Sasa naijiuliza.

- Haya mabadiliko ya hii slider yamefanywa inhouse . na watalamu wa ndani au kuna kampuni imelipwa mijifedha kadhaa?........
- hata iwe ni kampuni au wafanyaazi wa ndani je is that the best TBC have achiived for five days after beiing offline ?
- Hivi TBC youtube ya bure imewkosea nini wanshidnw akuweka clip japo za taarifa ya habari na hotuba za viongozi mbali mbali.( Tazama mwenyewe Hizo video za youtube hazijawai kuwa updated toka hii toviuti ianzishwe). hata aliyokuwepo Tido hakuuwa na mabadiliko