TBC taifa redio namba moja nchini, tuwape hongera zao

mamiake

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
270
332
Mimi ni msikilizaji mzuri sana wa radio mbalimbali
Napenda kuwapongeza sana TBC taifa kwa kuwa na vipindi bora na vizuri vya kuelimisha.
Nawasihi watanzania wenzangu msikilize TBC taifa mpate kuelimika
najua wengi mtaponda lakini mkasikilize kwanza ndo mje mtoe kasoro.
 
Vipindi vipi ni bora hebu vitaje basi, na utuambie vinatusaidia vipi sisi walipa kodi
 
Back
Top Bottom