TBC = Taarabu, ITV = Habari za Uchaguzi. Ipi TV ya Taifa?

TBC ni jina tu lakini ni ya magamba, hawawezi kuonyesha mambo ya arumeru mashariki, na hapo bado subiri muone vituko magamba
watakapogalagazwa within 12 hours from now, ndo tutapigiwa za yule bi shoct 'muogo wa jang'ombe sitaulamba mwiko............
Hiyo ndo TBC yetu bana mkitaka kujuaga zaidi mtafuteni D.T. Mando.
Maelezo yako hayajibu hoja yangu, unless uniambie tu kwamba vidole vinakuwasha kutype.
 
Tangu asubuhi ITV wanatoa updates za Uchaguzi hasa wa Arumeru East lakini TBC wanarusha vipindi vilivyorekodiwa including muziki wa Taarabu. Je television yetu ya taifa TBC wanataka wapate wapi taarifa kuhusu chaguzi mbalimbali zinazofanyika leo?

tbc wa kuwashangaa?
 
Back
Top Bottom