TBC,Star TV wawatelekeza waandishi wao baada ya kuugua(VIDEO)

Waandishi wa habari wa Tanzania hawana tofauti na wabunge. Badala ya kuteta masali ya jamii wanatetea zaidi mlo na maslahi yao. Huko muleba ni wafanyakazi wangapi wametekezwa na makampuni waliyokuwa wanafanya kazi. Au ndio hao tu?


Badilikeni bana
 
Vyombo vya Habari TZ havina shukrani kabisa

Michango ya watu kama Owaman(Star) na Ben (TBC),Muro(TBC),Tido(TBC) na kwakweli sina hamu kabisa
 
Waandishi waliotelekezwa ni Benjamini Rwegasira(TBC) na Raymond Owaman(Star TV)

Watch this video-http://www.youtube.com/watch?v=jpgurweBNyM&feature=channel_video_title

Nimeiangalia hii video... kweeeeli inasikitisha sana na nawapa pole nyingi. Mimi nadhani tatizo sio waajiri wao tu ila ni system nzima ya utawala wetu. Watu kama hawa nchi nyingine hata kama hawakuwa na ajira serikali inachukuwa jukumu la kuwatibu.
Lesson number one: Waandishi wa habari jitahidini sana kupigania serikali yenye utawala bora na inayowajibika kwa wananchi. Mkiendelea kuweka maslahi binafsi mbele mambo kama haya hayatamalizika.
Nje ya mada: Huyo mtangazaji aliye-present hii habari kiswahili chake ni kibovu sana sana sana. Kwa nini asipelekwe shule ili aweze kutamka maneno sawasawa? Hajui tofauti ya R na L ... ni songombingo moja kwa moja. Kweli taaluma ya uandishi wa habari hapa Tanzania ni uganga njaa...
 
wanavuna wallichokipanda haya ndio matatizo ya kungangania vyama vya ajabu ajabu kila ccm wakiwepo wanaenda wao ..na huko TBC Mna nini mmeanza na yule mchaga mwenzangu sasa huyo tena mmhhhh sumbawanga zenu zinatisha msije mkawa mnaondoana
nimefika kwa waliokuwepo ule msiba wa muhandishi dan wengi walikuwa wanaongea mambo ya kuchukuana ilinifanya nimwambie mdogo wangu mwandishi wa habari embu anza somea kingine watakuchukua hawa bilakujua
 
Back
Top Bottom