TBC sasa kuchuana na DW/CNN. Wafanya mazungumzo moja kwa moja na Dkt. Slaa kutoka Sweden

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,482
20,426
Nilikuwa naangalia television yetu ya taifa ya TBC ,mara wakajiunga moja kwa moja na balozi wetu aliyeko Sweden ndg Wilbrod Slaa na kuongea nae live ambapo alikuwa anaelezea mkutano mkubwa wa diaspora wanaokaa nchi za Scandinavia utakaofanyika weekend.

Wadau huwa ni vigumu sana kurusha matangazo ya moja kwa moja mf kutoka bungeni, lkn TBC wameweza kurusha moja kwa moja kutoka maelfu ya kilometers tena kwa usikivu wa hali ya juu.

CNN, SABC, GCHN, BBC, SKY NEWS, AL JAZEERA, DW and all the majors here we are coming.
lusungo Copenhagen DN.
Povu ruksa lkn liwe la sabuni ya unga
 
Nilikuwa naangalia television yetu ya taifa ya TBC ,mara wakajiunga moja kwa moja na balozi wetu aliyeko Sweden ndg Wilbrod Slaa na kuongea nae live ambapo alikuwa anaelezea mkutano mkubwa wa diaspora wanaokaa nchi za Scandinavia utakaofanyika weekend.
Wadau huwa ni vigumu sana kurusha matangazo ya moja kwa moja mf kutoka bungeni, lkn TBC wameweza kurusha moja kwa moja kutoka maelfu ya kilometers tena kwa usikivu wa hali ya juu.
CNN,SABC,GCHN,BBC,SKY NEWS,AL JAZEERA,DW and all the majors here we are coming.
lusungo Copenhagen DN.
Povu ruksa lkn liwe la sabuni ya unga
Dogo bana. Noted!
 
nahisi wamenunua mitambo mipya jana nilikuwa naangalia yale matangazo ya msiba nikaona kama imekuwa na mng`ao hivi kitu ambacho mara ya mwisho kuitazama hiyo tv hakikuwepo,tv ya mungu wa kaskazini...
Ahhha hhha eti Mungu wa kaskazini,nadhani kuna uwekezaji kidogo wamefanya hapo
 
Vipi William TV haitakuwepo live uko Scandinavia mana ina experience ya kutosha na mambo ya external affairs
 
mkurugenzi wake alikuwa mwanaharakati ninayemuamini sana kabla ya huo wadhifa,alivyopewa kitengo tu,kabadirika kawa mdebwedo balaa,kweli ugali mtamu...kuna kipindi hadi huwa simwelewi,kawa kama yule prof. ambaye amefanya Halima Mdee aone aibu kufundishwa nae,hakika amini hii nchi ina mungu mtu..watu wamekuwa rojo si kawaida.
 
Vipi William TV haitakuwepo live uko Scandinavia mana ina experience ya kutosha na mambo ya external affairs
Tv yenye kifaa cha kunasa Picha mubashara aina ya Kodak ..msaga sumu yaelekea ukikaa NAE ndio wale Jamii ya watu anatoa Boko halaf yeye hana habari,mkavuu!
 
Nina miaka 7 siangalii TBC. Mungu akipenda ccm ikiondolewa madarakani nitajaribu tena kuiangalia.
 
Mbona hata mimi niliongea live na jamaa yangu aliyeko Tokyo Japan kwa kutumia Smartphone yangu nilimpigia kwa whatsapp.
 
nahisi wamenunua mitambo mipya jana nilikuwa naangalia yale matangazo ya msiba nikaona kama imekuwa na mng`ao hivi kitu ambacho mara ya mwisho kuitazama hiyo tv hakikuwepo,tv ya mungu wa kaskazini...

yaani mtoa mada na wewe naona kama ni mtu mmoja vile mana kama vile umejijibu mwenyewe
 
Back
Top Bottom