TBC ONLINE via IPHONE

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,974
1,400
Naomba msaada wakuweza kuona TBC kupitia cim yangu iphone 4 or android phone nasikia kunavituko vya bunge sina mda kukaa kwenye computer au kutembea na laptop kwa mda wote..naomba procedure namna ya kufanya ili niweze kuona online.,,
 
kwa nini isiwezekane?kama huko bongo sijui ila kama huko huko nchi za ulimwengu wa kwanza ni jambo lakiwaida..nangalia channel kibao kupitia cim yangu online muhimu kuwe na fastest internet access through 3G,4G or wi-fi
 
Back
Top Bottom