TBC na wimbo wa Mkenya ni aibu kwa Taifa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TBC na wimbo wa Mkenya ni aibu kwa Taifa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwendabure, Jun 27, 2011.

 1. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Wadau naomba kufahamishwa kuhusu wimbo unaotumiwa na Radio ya Taifa TBC Taifa (zamani RTD) unaosema nanukuu maneno yake kwa uchache "Ni lazima tuungane kuijenga inchiyetu" Wimbo huo umeimbwa na msanii Erick Wainaina kutoka kenya. Je ni sahihi kutumia wimbo huo ktk Radio yetu ya Taifa? Hakuna wimbo mbadala unaofaa miongoni mwa kazi za wasanii wetu iwe hawa wa sasa au wale wazamani? Binafsi nashikwa na aibu ninapousikia wimbo huo ktk Redio ya taifa letu. Tusaidiane ktk mawazo Wakuu, karibuni.
   
 2. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  kwani tanzania kuna wasanii wa muziki?
   
 3. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Wapo Mkuu! Ila malengo yao ndo hayako kwenye muziki bali umaarufu. Labda!
   
 4. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kwani huwajui wa TZ kwa kushobokea vitu vya nje?
  We sema tu nimetoka nchi jirani basi chart yako inapanda hata kama ulikuwa kibaka na teja lisilo na kazi utokako
   
 5. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  ndio maana pM zimenizidi......
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Jun 27, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Ahahahaah!! Habari yako mtani.
   
 7. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Mkuu ni watani wa jadi au wa jamvi nyie?
   
 8. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Tido Muhando hayuko tena pale TBC 1 na TBC taifa unategemea nini?
   
 9. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Sina hakika ila nadhani wimbo ulikuwapo hata wakati wa Bw. Mhando.
   
 10. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kwani hata wimbo wa Taifa hatuna tunatumia wa South Africa, Sharobalo Kikwete kila mwezi anenda huko kuangaliwa afya yake
   
 11. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Hili nalo lipo Mkuu! Mbona wimbo wetu wa Taifa unalandana na wimbo wa Afrika Kusini na hata Zambia? Jamani hapa kuna jambo tufafanulieni kulikoni? Khaaaa!!
   
 12. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  baadhi ya Wasanii wetu ni masharobaro sana, hawana idea wala kuumiza kichwa zaidi ya kuimba nyimbo za mapenzi, mtu anaandaa album yake, nyimbo zote zinaongelea mapenzi tu. halafu kila siku wanapata mialiko ya kupiga show nje..nahisi aibu sana
   
 13. moblaze

  moblaze JF-Expert Member

  #13
  Jun 27, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kenya wako juu yetu lazima tuwatukuze.....Tanzania bana! Rahaaaaaaaaaaa
   
 14. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #14
  Jun 27, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Wengi wao album nyimbo zote zinafanana namna ya uimbaji isipokuwa maneno tu. Ovyo kabisa!
   
Loading...