TBC na utabiri wa hali ya hewa feki

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
17,352
32,989
Leo nilikuwa naangalia utabiri wa hali ya hewa kwenye tv ya TBC kitu cha ajabu kilichoniacha hoi ni pale nilipogundua utabiri uliokuwa ukisomwa ulikuwa ni wa tarehe 16/8/2011 wakati leo ni tarehe 24/09/2011!

Inakuwaje TBC wanakuwa wachakachuaji namna hii? Je mtu akitegemea utabiri wao kuplan mambo yake si itakula kwake maana wanatusomea tabiri za miezi iliyopita?
 
TBC mbona washajifia siku nyingi sana! siku hizi ni CCM propaganda machine hawana jipya
 
Heheheheee unaweza shangaa zaidi kua hata hiyo tarehe ya nyuma unayosema ni yanyuma zaidi,i mean 2000, hii nji lol! Kila kitu kimeexpire inclung ccm
 
TMA nao kumbe wanakula ela ya bure. Binafsi naona wanamakosa zaidi maana wao ndio wanaoto utabiri na Tbc Wanarusha hewani, sasa kama Tbc Wanarusha Utabiri Feki Basi TMA pia wanahusika.
 
Back
Top Bottom