Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 17,364
- 33,003
Leo nilikuwa naangalia utabiri wa hali ya hewa kwenye tv ya TBC kitu cha ajabu kilichoniacha hoi ni pale nilipogundua utabiri uliokuwa ukisomwa ulikuwa ni wa tarehe 16/8/2011 wakati leo ni tarehe 24/09/2011!
Inakuwaje TBC wanakuwa wachakachuaji namna hii? Je mtu akitegemea utabiri wao kuplan mambo yake si itakula kwake maana wanatusomea tabiri za miezi iliyopita?
Inakuwaje TBC wanakuwa wachakachuaji namna hii? Je mtu akitegemea utabiri wao kuplan mambo yake si itakula kwake maana wanatusomea tabiri za miezi iliyopita?