bokenyewaito
Member
- Aug 11, 2015
- 17
- 0
[Vyombo hivyo vishitakiwe kwa nani? maana yake wale waliovitumia vibaya wakati wote wa kampeni na uchaguzi -Unilaterally ' ndo hao hao unawapelekea kesi utaweza! Tumepatikana!
Halafu na habari corporation newspapers nao washitakiwe pamoja na freemedia corporation na Tanzania Daima nao wasiachwe kwa kola hivohivo la kuegemea upande mmoja
Endelea kutega sikio baada ya kujua nini kinaendelea ndio utakuwa na adabu kwa ukawa
Unapotumia chombo chochote ambacho unajua fika kwamba kinaifikia jamii kwa kiwango kikubwa hata kama ni mali yako binafsi,
Na ukaweka habari ambazo sio balanced basi unakuwa hujatenda haki.... Na utambuwe tunanunua hayo magazeti hatupewi bure hivyo una haki ya kushitakiwa na sheria kuchukua mkondo wake
Vyombo vya habari makini na ambavyo havishabikii hoja za upotoshaji na vurugu ni tbc na star tv.viko vingine vinarusha mazungumzo ya simu na washabiki wao wawili watatu halafu hao ndio mawazo ya watanzania.Kufuatia kuegemea kwenye chama kimoja kati ya vyama 23 vya siasa vyombo hivyo ambavyo vinaendeshwa kwa kutumia kodi za watanzania woote bila kujali itikadi ya chama vimeonyesha upendeleo mkubwa sana. Hivyo ni vizuri na haki wakishitakiwa kwa kuhujumu kodi za watanzania
Kufuatia kuegemea kwenye chama kimoja kati ya vyama 23 vya siasa vyombo hivyo ambavyo vinaendeshwa kwa kutumia kodi za watanzania woote bila kujali itikadi ya chama vimeonyesha upendeleo mkubwa sana. Hivyo ni vizuri na haki wakishitakiwa kwa kuhujumu kodi za watanzania