bcsolution
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 394
- 176
Habari zenu wadau wote,
Mimi ni mpenzi sana kwa kutizama taarifa za habari kuanzia channel 10 saa moja jioni na ikiisha nahamia TBC saa mbili kamili.
Tatizo ni kwamba kila siku lazima kuwe na makosa,mara sauti haitoki na huyo anayeripoti habari, mara picha na habari inayosomwa tofauti.
Yani full kukosea na sio bahati mbaya mana ni kila siku,hakuna siku niliangalia habari na kukawa hakuna makosa.Sasa ni hao waliokuwa kwenye mitambo hawana ujuzi wa kutosha au mitambo imechakaa?
Mbona steshen zingine za nje ya nchi haziko hivo?Mnakera na mnampa tabu anayesoma habari mana huwa anaomba radhi sana kwetu sisi.Nimeamua kuandika mana mnakera sana mpaka nachukia kuangalia hizo habari zenu.
Kukosea kila siku? Mjirekebishe na kuandaa habari zenu mapema na kuzicheki na kuzihakiki kabla kutuletea sisi watizamaji wenu.
cc.
Mkurugenzi TBC
Mkurugenzi channel 10
Sina namba zao ningewapigia .
Updates..10 June 2016
Nimeamini kwamba kweli ITV wako vizuri kimitambo na ubadilishaji picha katika habari,picha zinabadilishwa na msomaji yuko makini hakosei hovyo na watu wa mitambo picha zinaletwa husika. Yani mpaka nasikia raha kuangalia habari ya saa mbili usiku. Sasa inakuwaje TBC wanashindwa haya ?