Utangazaji ni kipaji na sio mavyeti tu..hawashangai clouds media wanaendelea kuwa relevant kwa kiasi fulani kutokana na kuweka watu wenye vipaji na sio tu degree ya mass communication na journalism..
Sehemu ukishajazaa wazee wengi hata ubunifu unakuwa hamna..refer taasisi nyingi za serikali kama Ttcl na nyingine..
leo tarehe 8-10-2019 wamemhujumu Ayubu Ryoba, yaani wamenunua makamera feki, raisi anaonekana kama mkaa, ila ukiangalia ITV ipo HD, naamini hata watu wa ikulu wanafuatlia kupitia ITV alafu kuna mtu anajiita dokta yupo tu ofisini, sijui Ryoba, si bora wamrudishe yule waliyempleleka ikulu?Muda huu nilijaribu kutazama taarifa ya habari kupitia TBC inayopatikana kwenye king'amuzi Cha Dstv
Picha zinazorushwa na TBC ni za viwango duni mno mno mno
Najiuliza sana mara kwa mara huwa tunaona na kusikia serikal ya China imetoa msaada wa vifaa kwenye kituo hiki Cha runinga kinachomilikiwa na serikali
Hivi misaada Ile ya vifaa huwa ni vifaa gani haswa vinavyoingiza hadi muonekano wa picha za television ya taifa uwe mbaya kiasi kile
Rais anaposema nchi hii ni TAJIRI huwa anamaanisha nini ikiwa vitu vidogo Kama hivi tunashindwa kuvitafutia ufumbuzi
Nashauri TBC iache Mara moja kufungua matawi mapya kwanza wajirekebishe kwa kasoro kama hizi
Tbc licha ya kuwa na vipindi vibaya lakin pia hata muonekano ni mbaya sana video zenu mbaya mbaya mbaya
Inauma sana..leo tarehe 8-10-2019 wamemhujumu Ayubu Ryoba, yaani wamenunua makamera feki, raisi anaonekana kama mkaa, ila ukiangalia ITV ipo HD, naamini hata watu wa ikulu wanafuatlia kupitia ITV alafu kuna mtu anajiita dokta yupo tu ofisini, sijui Ryoba, si bora wamrudishe yule waliyempleleka ikulu?
magufuli akiangalia hakiyanani anamtumbua DG usiku wa manane.
HAKUNA MPIGA PICHA WA KUMLAUMU MAANA MAKAMERA YA KIZAMANI, TENDA INATOKA KINDUGU NA wanamhujumu, rais, hasa DG.
...taratibu Bro. Tujitahidi kufichiana siri Za Taifa. Aibu yetu aibu yako!Nimeshindwa Kushangaa
Tatizo Hata Halisemwi Iwapo Ni Ujuzi Ama Nini
Viongozi Wapo, Kuibadili Television Hakuna
YaaniAjabu Sana
TBC Imepigiwa Chapuo Kuonekana Kwenye Visimbusi Vyote Bure Ila Hata Mvuto Haina Yaani Kwisha
Sijui Labda Tuseme Wanaweza Nini?
Live Coverage Matangazo Yatakatika Mpaka Aibu
Ndio maana Hata Bashite, na hata Magufuli mwenyewe huwa wanaangalia ITV na Clouds,hata press za Makonda huwa anapendelea ITV.Inauma sana..
Wanarusha sijui kwa internet ya simu? tena tecno, yaani ukimuangalia mh Magufuli halali alafu mijitu ipo kwenye AC na kutembelea ma VX na hayafanyi kitu, inauma sana,Nimeshindwa Kushangaa 😏🤔🤨
Tatizo Hata Halisemwi Iwapo Ni Ujuzi Ama Nini
Viongozi Wapo, Kuibadili Television Hakuna
YaaniAjabu Sana 😶🙂
TBC Imepigiwa Chapuo Kuonekana Kwenye Visimbusi Vyote Bure Ila Hata Mvuto Haina Yaani Kwisha
Sijui Labda Tuseme Wanaweza Nini?
Live Coverage Matangazo Yatakatika Mpaka Aibu
Wewe ndio umechanganyikiwa tu. Lengo la Kipindi hulijui hivyo waache waendelee. Kumbuka haulizwi mtu mmoja swali hilo kila mara. Huulizwa watu mbalimbali na kila mmoja hujibu kivyake.
Kwanza watu wenye akili kama zako mliisha jikataza kuiangalia TBC kilichokupeleka kwenye hayo maudhi ni nini?
Kumbe TBC ni kama maji usipoyanywa utaogea au kufulia

watajirekebisha, nahisi MAGUFULI KAAMUA KUMFUNGIA MACHO MKUU WAO PALE KAMA ALIVYOFANYA KWA DAUDI ALBERT BASHITEMuda huu nilijaribu kutazama taarifa ya habari kupitia TBC inayopatikana kwenye king'amuzi Cha Dstv
Picha zinazorushwa na TBC ni za viwango duni mno mno mno
Najiuliza sana mara kwa mara huwa tunaona na kusikia serikal ya China imetoa msaada wa vifaa kwenye kituo hiki Cha runinga kinachomilikiwa na serikali
Hivi misaada Ile ya vifaa huwa ni vifaa gani haswa vinavyoingiza hadi muonekano wa picha za television ya taifa uwe mbaya kiasi kile
Rais anaposema nchi hii ni TAJIRI huwa anamaanisha nini ikiwa vitu vidogo Kama hivi tunashindwa kuvitafutia ufumbuzi
Nashauri TBC iache Mara moja kufungua matawi mapya kwanza wajirekebishe kwa kasoro kama hizi
Tbc licha ya kuwa na vipindi vibaya lakin pia hata muonekano ni mbaya sana video zenu mbaya mbaya mbaya
leo tarehe 8-10-2019 wamemhujumu Ayubu Ryoba, yaani wamenunua makamera feki, raisi anaonekana kama mkaa, ila ukiangalia ITV ipo HD, naamini hata watu wa ikulu wanafuatlia kupitia ITV alafu kuna mtu anajiita dokta yupo tu ofisini, sijui Ryoba, si bora wamrudishe yule waliyempleleka ikulu?
magufuli akiangalia hakiyanani anamtumbua DG usiku wa manane.
HAKUNA MPIGA PICHA WA KUMLAUMU MAANA MAKAMERA YA KIZAMANI, TENDA INATOKA KINDUGU NA wanamhujumu, rais, hasa DG.
hoyeeeeeeAnaingalia sana na sifa anawamwagia kila mara uingalii utajuje kama anaangalia TBC oyeee!!!
TV ya Taifa hiyo inapaswa kuonesha vitu vya kitaifa na maendeleo huku ikitunza utamaduni wa kitanzania.Kila nikifungua TBC either kuna live covarage au kina kipindi maalumu ya Kusifia. Je vipindi vingine vimefutwa? Ili nihame kabisa hata niwe naangali UTV.
Mbona unakuwa mjinga kiasi hiki? Unalazimishwa kuangalia?
Angalia TV ufipa