TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

kwa kweli TBC inasikitisha sana..

millard ayo ana cover habari nyingi na ana waandishi nchi nzima... hata tukio la mbali bado anafanya coverage .. ila tbc na rasilimali zote na ruzuku zote ila hakuna kitu..

millard ana matangazo na wazamini wengi.. mpaka misri kwenye afcon kapeleka waandishi wake ila tbc.. kimyaa..

hata kuonesha mechi za taifa starz wameshindwa? rais piga chini tbc nzima tuanze upya tu
AYUBU RYOBA (DR) HATOSHI kabisa TBC, ameiua na anendeleza kuiua TBC.
Kituo kimekufa kifo cha mende.
anazidiwa na vitu vyenye tuchumba kimoja tu cha kurushia matangazo.
Ryoba siyo mbunifu kabisa, amebaki na chereko na live za ikulu ambapo hata hivyo hajalipwa mwaka wa tatu sasa na hapeleki invoice.
anatumia magari zaidi ya matatu ya serikali huku la kwake binafsi likiwa la nne, yote yapo TBC MIKOCHENI.

Kuna tetesi zilikuja kuhusu "interns" wa kike, okay hiyo bado inachunguzwa na "vijana wa kazi" waliopelekwa pale kwa kazi hiuyo, ila katabia hako kako, hasa kwa malipo ya kupewa ajira, wadhirika zaidi ni watangazaji,.

Amemficha Magufuli taarifa nyingi sana kuhusu TBC, yani hataki JPM-KIPENZI CHA WATU afanye ziara pale, hili linafahamika sana.

Watumishi wanakwenda safari na kutolipwa per dm zao.
Shirika halina magari na OB VAN aliyonunua kwa karu bilioni moja imekuffa, hajaonyesha juhudi zozote kuipeleka TEMESA.

Angalia ofisi ya MIKOCHENI imejaa mbu , watumishi wanaomba fummigation lakini jamaa kaweka pamba masikioni.
FUKUZA FUKUZA, MH raisi , Ryoba anafukuza watu, kila uchao , kesi za migogoro ya kazi ningi sana, hafikirii hilo, hana kamati ya nidhamu, amekuwa kama mfalme juha, naomba apewe semiana ya umeneja, na hakupi taarifa sahihi.

OMBI KWA JPM.
Mheshimiwa Rasi, tunaingia kipindi cha uchaguzi, ili kwenda vyema lazma idara tatu ziwe makini.

1. TISS

2. POLISI.

3. SHIRIKA LA HABARI TBC

Kwanini TBC.
Huku ndipo wataita mijadala ya siasa , hasa kualika wanaokijua chama na serikali, kuzungumzia mazuri ya serili na mapungufu kama changamoto tu, lakini kwa sasa Ryoba anaweka nyimbo za sifa tu, za kukusifu huku hata sisi wana ccm tukijiuliza hivi huyu ni dokta kweli?

Tunaomba uangalie mtu mbunifu, TBC tangu atoke mshana na Mhando, hakuna maendeleo yeyote aliyofanya zaidi ya MKATABA WA MANGONGO ALIOINGIA NA STAR TIMES ambapo TBC inapata hasara ya milioni 500 kwa mwezi kupitia hivyo vingamuzi.

OMBI.
MH MAGUFULI, WEWE NI BABA WA WANYONGE , njoo TBC, maswali ya kumuuliza ni je?
1. umefukuza watumishi wangapi?

2. ulikuwa na mamlaka ya kuwafukuza?
3. wamefungua kesi, na j wameitia shirika hasara kiasi gani?
4. Hoja kula vi-intern umeacha? tukuletee ushahidi wa mitandao ya simu yuliyodukua? prints zake za simu zipo TISS.
5. Umeleta matangazo kiasi gani?
6.Magari ya kifhari ya shirika unatembelea wewe huku watumishi wakikosa hata gari la kwendea ziara, unafahamu hilo?
7. TBC haina GARI LA KWENDEA MIKOANI, kila siku wanakodi COASTER, na kwa taarifa tu mheshimiwa rais hiyo Coaster ni ya fulani hapo, simtji ila vijana wa TISS watakujuza, kila safari kwa wiki ni milioni tatu, wakati huyu dkt ryoba angekuwa mbunifu angenunua Coaster ya kwendea safari kwa watangszaji na mafundi.

8.wapongeze watumishi wengine , wamekuwa wabunifu japo wanaishi kimaskini sana, kutokana na kuweka mtu asiye jielewa kuwa top.

hayo tu
 
Halafu wanataka mitandao ya simu iende kupeleka matangazo kwenye tv yao

yani watatangaza makampuni yao tu

ndio mana saivi wanatumia camera Za tecno S1
 
Kumbe kuna watu huwa mnaangalia TBC?
This is too much, huyo mkurya ameiharibu tbc, kila kitu anachofanya Magufuli ni lazima tuonyeshwe? I think no, Mnashindwa kujua kipi cha maana cha kurusha na kipi ni personal?
 
Siwei asilani kuiangalia hii chanel................... hata nikiwa bank wanapenda kuweka huu ujinga haswa CRDB siwezi kuangalia bora nisome umbea wa Juma Lokole huwa ana ya muhimu kuliko huko TBC
 
Chanel za TV zipo nyingi sana,hakuna ulazima Wa kuangalia TBC kama inakukela,piga kazi magufuli
 
Back
Top Bottom