TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

Na Mimi namshangaa!! Alipataje muda wa kuangalia TBCommedy kwa angalau dk5?
Mkuu kuna mazingira yanakulazimu..kama kuishiwa kifurushi,kutembelewa na wazee home mana wanajua taarifa nzuri ni tbc...au kutazama kupitia runinga za taasisi za umma.
 
machinga smart huyu dogo sijui kwamba hata alisoma, anauliza maswali ya kipuuzi kabisa.
wanauliza swali lilelile tuuu. "nini mchango wa mwalimu nyerere katika utalii" liliulizwa mwakajana na mwaka huu pia
Hamna weledi kabisa
Wewe ndio umechanganyikiwa tu. Lengo la Kipindi hulijui hivyo waache waendelee. Kumbuka haulizwi mtu mmoja swali hilo kila mara. Huulizwa watu mbalimbali na kila mmoja hujibu kivyake.
Kwanza watu wenye akili kama zako mliisha jikataza kuiangalia TBC kilichokupeleka kwenye hayo maudhi ni nini?
Kumbe TBC ni kama maji usipoyanywa utaogea au kufulia
 
machinga smart huyu dogo sijui kwamba hata alisoma, anauliza maswali ya kipuuzi kabisa.
wanauliza swali lilelile tuuu. "nini mchango wa mwalimu nyerere katika utalii" liliulizwa mwakajana na mwaka huu pia
Hamna weledi kabisa
Aisee una roho ngumu sana, unawezaje kutazama huo uchuro?
 
Angalia Bukede au Wasafi TV hiyo TBC tuachie sisi Wazalendo wa nchi hii tunataka kujua mema na mabaya ya awamu ya Tano!!!!!
 
dad cheza kidogo kwangwalu... wewe ndo rais wa wanyongeee. yaan huu wimbo huu jamani!
 
P be pl
Mm ningeshauri mjitenge na upendeleo wa kisiasa vyama vyote ni vya tanzania mjitoe kwenye biasness ya uccm TBC ni ya watanzania wote na si ya Chama kingine mpende kuutangaza ukweli hata kama haumfuraishi mtukufu flani la mwisho ni muwe na utaratibu wa kuweka records na kuzifuatilia especially za ahadi za uchunguzi unaendelea tutawafahamisha za jeshi la polisi
Usijali, Mheshimiwa sasa haitaji watu wanaojipendekeza, watanyoshwa tu!
 
Wajitahidi kubalance sauti kusiwe na kuongezeka ama kupungua sauti ya TV bila mpangilio..ukipunguza sati isijipandishe yenyewe na ukipandisha sauti isijishushe yenyewe....
 
TBC hata mkipewa CNN muiendeshe ndani ya wiki 2 tu itakuwa haina watamazaji.

Muulizeni Tido Mhando alikuwa akifanyaje? Ondoeni upupu wenu humu.
Jana nilikuwa kijijini nikaingia kwenye bar flani hapo ndo kuna chakula,nikakuta kuna TBC kipindi cha Mc Pilipili eti comedy!

Mpaka natoka pale sijaona mteja mwenzangu hata mmoja akicheka zaidi ya Pilipili mwenyewe akijichekesha.
 
Ukiwa na tv yako hata ya HD lakini ukiweka TBC1 tu,rangi inakuwa kwenye format ya 3GP
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom