Anko Bantu
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 325
- 321
Wengine wamejitahidi kufikia HD ila wao bado wapo na 3GP tu..
Iyo ni ya ITV bana acha kusingizia watuanza kwa kufuta ule ujinga awavumi lakin wamo..
ndo ntajua mnaskilza af niwashauli kukwepa u-kada
TBC ni kama ileeee KBC ya Moi.. Sema tofauti KBC was 90's & TBC sasa.. Bad!Ndugu WanaJF,
Kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi na hata hapa JF kuhusiana na changamoto ya vipindi vya Televisheni ya Taifa (TBC1). Malalamiko hayo yameegemea zaidi katika eneo la ubora wa picha na ubunifu wa vipindi.
Kwa bahati nzuri, Mkurugenzi pamoja na Watendaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) ni wadau wakubwa wa JamiiForums na huwa wanafuatilia taarifa na mijadala mbalimbali inayoendelea hapa. Hivyo tukiitumia vyema nafasi hii, tutawasaidia kuboresha maeneo ambayo yanatakiwa kurekebishwa kwa haraka.
Naomba tutumie uzi huu kutoa maoni, ushauri na mapendekezo kuhusu aina ya vipindi na ubunifu ambao ukitumiwa utasaidia kuifanya televisheni hii ya taifa kuvutia kutazamwa na kufurahiwa.
Tumeshalalamika sana. Sasa ni wakati wa kuchukua hatua na kutaja suluhu kwa mifano ili kuimaliza changamoto hii kabisa.
Karibuni sana.
Acheni kutumika kisiasa! Tunashindwa kuwelewa kama nyie ni Television ya Taifa au tawi la chama?
Ubora wa picha ni sifuri kabisa!
Nchi hii imejaa vijana zaidi ya 70% nyie asilimia 80 ya vipindi vyenu ni vya kizee!
Mnashindwa hata kuonesha mechi ya Taifa stars mmekalia ziara za viongozi wa chama wakitembelea matawi sijui kigoma gani huko!
Mmetangaza kufunga mitambo mipya ya kisasa na picha ndo kabisa zimerudi zile za kiwango cha chini kabisa!
Subirini na wengine wanakuja na mjiandae kwa POVU ZAIDI
mpuuzi wewe kodi unalipa wewe na huyo kichaa wako tu. tunaangalia tukiwa kwenye ofisi za wajinga kama weweNyie si mlisema hamuwezi kuangalia TBC 1 imekuwaje tena kaka?
Na Mimi namshangaa!! Alipataje muda wa kuangalia TBCommedy kwa angalau dk5?Nyie si mlisema hamuwezi kuangalia TBC 1 imekuwaje tena kaka?
Mtu akikuuliza kwa ustaarabu basi mjibu kistaarabu,hakuna haja ya kutupiana matusi.mpuuzi wewe kodi unalipa wewe na huyo kichaa wako tu. tunaangalia tukiwa kwenye ofisi za wajinga kama wewe
Makamanda utawaweza basiNyie si mlisema hamuwezi kuangalia TBC 1 imekuwaje tena kaka?