TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

Ongezeni ubora wa un'gaavu kwamfano yale matangazo live juzi pale Muhimbili ilikuwa aibu picha chafu ,pia watangazaji wanaojua lugha tofauti na kiingereza mfano siku ile timu ya Sevila ilipokuja mlishindwa kupata habari sababu ya lg barrier hadi mkawa mnamuomba yule mkalimani awahoji kwa niaba yenu cha mwisho na cha muhimu sana muache kuwa propaganda machine ya ccm kwani wakifanya mazuri sisi tunaona na wakiharibu tunaona pia#Watanzania sio wajinga kama mnavyodhani fyekelea mbali mazungumzo baada ya habari
 
Muda huu nilijaribu kutazama taarifa ya habari kupitia TBC inayopatikana kwenye king'amuzi Cha Dstv

Picha zinazorushwa na TBC ni za viwango duni mno mno mno

Najiuliza sana mara kwa mara huwa tunaona na kusikia serikal ya China imetoa msaada wa vifaa kwenye kituo hiki Cha runinga kinachomilikiwa na serikali
Hivi misaada Ile ya vifaa huwa ni vifaa gani haswa vinavyoingiza hadi muonekano wa picha za television ya taifa uwe mbaya kiasi kile

Rais anaposema nchi hii ni TAJIRI huwa anamaanisha nini ikiwa vitu vidogo Kama hivi tunashindwa kuvitafutia ufumbuzi
Nashauri TBC iache Mara moja kufungua matawi mapya kwanza wajirekebishe kwa kasoro kama hizi

Tbc licha ya kuwa na vipindi vibaya lakin pia hata muonekano ni mbaya sana video zenu mbaya mbaya mbaya
 
Nimeshindwa Kushangaa 😏🤔🤨
Tatizo Hata Halisemwi Iwapo Ni Ujuzi Ama Nini
Viongozi Wapo, Kuibadili Television Hakuna
YaaniAjabu Sana 😶🙂
TBC Imepigiwa Chapuo Kuonekana Kwenye Visimbusi Vyote Bure Ila Hata Mvuto Haina Yaani Kwisha

Sijui Labda Tuseme Wanaweza Nini?
Live Coverage Matangazo Yatakatika Mpaka Aibu
 
Muda huu nilijaribu kutazama taarifa ya habari kupitia TBC inayopatikana kwenye king'amuzi Cha Dstv

Picha zinazorushwa na TBC ni za viwango duni mno mno mno

Najiuliza sana mara kwa mara huwa tunaona na kusikia serikal ya China imetoa msaada wa vifaa kwenye kituo hiki Cha runinga kinachomilikiwa na serikali
Hivi misaada Ile ya vifaa huwa ni vifaa gani haswa vinavyoingiza hadi muonekano wa picha za television ya taifa uwe mbaya kiasi kile

Rais anaposema nchi hii ni TAJIRI huwa anamaanisha nini ikiwa vitu vidogo Kama hivi tunashindwa kuvitafutia ufumbuzi
Nashauri TBC iache Mara moja kufungua matawi mapya kwanza wajirekebishe kwa kasoro kama hizi

Tbc licha ya kuwa na vipindi vibaya lakin pia hata muonekano ni mbaya sana video zenu mbaya mbaya mbaya

Mzee unapoteza muda wako kuangalia yale mavi?

Mafanikio ya awamu ya tano!

Such a smelling jack sh1t!
 
Muda huu nilijaribu kutazama taarifa ya habari kupitia TBC inayopatikana kwenye king'amuzi Cha Dstv

Picha zinazorushwa na TBC ni za viwango duni mno mno mno

Najiuliza sana mara kwa mara huwa tunaona na kusikia serikal ya China imetoa msaada wa vifaa kwenye kituo hiki Cha runinga kinachomilikiwa na serikali
Hivi misaada Ile ya vifaa huwa ni vifaa gani haswa vinavyoingiza hadi muonekano wa picha za television ya taifa uwe mbaya kiasi kile

Rais anaposema nchi hii ni TAJIRI huwa anamaanisha nini ikiwa vitu vidogo Kama hivi tunashindwa kuvitafutia ufumbuzi
Nashauri TBC iache Mara moja kufungua matawi mapya kwanza wajirekebishe kwa kasoro kama hizi

Tbc licha ya kuwa na vipindi vibaya lakin pia hata muonekano ni mbaya sana video zenu mbaya mbaya mbaya
Bongo ni Chanel gani picha na sauti iko bora?
 
Tv za taifa za Afrika mashariki inayo ongoza kwa ubora wa picha ni Rwanda. TBC ni ya mwisho kabisa aibu sana. Picha kama unatizama mkanda wa harusi ya 1990.
 
TBC ndio state broadcast mbovu Africa ya Mashariki na Kusini.
Hata hii thread nahisi ipo 'kinafikinafiki'. Sioni dhamira ya that kufanyia kazi maoni yanayotolewa.
 
Back
Top Bottom