TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

TBC mpaka iwe mpya sio rahisi.
1. Mwandaaji na aina ya vipindi ni vya kizee mno. Ubunifu ni zero.
2. Mnavaa kama madereva na sio watangazaji. Mnekukula mmenenepeana haswa wanawake ni vipipa. Hao rudisha nyuma kuandaa na kuongoza vipindi. Eleweni kutangaza kwenye tv ni zaidi ya kazi ya PR. Muonekano ndio branding. Get people with best voice and appearence plus brains. WAPO TELE.
3. Hamjaweza tumia teknologia ipasavyo. Quality ya video zenu inasikitisha. TV ya Taifa? No way. Mnashindwaje na madogo kama ayo, itv nk ?
4. Wekeni channels tofauti. Say TBC 1 huko wekeni watu wa serikali na programme za kuisifu serikali. Fine. TBC 2 ya biashara na programme zilizochangamka za vijana, kisasa, nk
TBC 3 say International hii ni ya utalii na kwa kiingereza. Huko unaiuza Tanzania duniani na sera ya viwanda na ipatikane free duniani kote na balozi zetu na airport zote na portal zote kubwa. Weka vivutio, mahoteli, mbuga, na quality ya picha iwe ya kimataifa.
5. Hiyo serikali mtandao ionekane kimataifa. Mambo ya passport, viza, uwekezaji na fursa. Wawepo watu wanaojua lugha na sio kiingereza cha kihaya.
Daaah we msengerema umenikosha sana, kula LIKE LIKE LIKE LIKE LIKE LIKE x100000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanyieni kazimasuala ya msingi ambayo yamekwishazungumzwa na watu. Lakini kusisitizia tuu, jitahidini kuwapangia shughuli nyingine hao watangazaji wazee. Watangazaji hawana mvuto kabisa kuwaangalia, mwingine unakuta anaongea huku povu likimtoka kwa sababu ya utu uzima!!. Kama walivyozungumza wengine, wamama wamekuwa ni vibonge kupita kiasi!!!!.
 
Ndugu WanaJF,

Kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi na hata hapa JF kuhusiana na changamoto ya vipindi vya Televisheni ya Taifa (TBC1). Malalamiko hayo yameegemea zaidi katika eneo la ubora wa picha na ubunifu wa vipindi.

Kwa bahati nzuri, Mkurugenzi pamoja na Watendaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) ni wadau wakubwa wa JamiiForums na huwa wanafuatilia taarifa na mijadala mbalimbali inayoendelea hapa. Hivyo tukiitumia vyema nafasi hii, tutawasaidia kuboresha maeneo ambayo yanatakiwa kurekebishwa kwa haraka.

Naomba tutumie uzi huu kutoa maoni, ushauri na mapendekezo kuhusu aina ya vipindi na ubunifu ambao ukitumiwa utasaidia kuifanya televisheni hii ya taifa kuvutia kutazamwa na kufurahiwa.

Tumeshalalamika sana. Sasa ni wakati wa kuchukua hatua na kutaja suluhu kwa mifano ili kuimaliza changamoto hii kabisa.

Karibuni sana.
Upande wangu,ubora wa picha na Sauti bado uko chini,vipindi viko vzr kwani nyie ni TV ya umma elimu ichukue nafasi kubwa kwenye vipindi sio kua na mziki zaidi hapana ni hayo tu mengine hongera kwa kua watangazaji wenye weredi kuliko kujali muonekano wa nje mjiepushe kua kama TV zingine zenye kuangalia urembo si weredi simameni hapohapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni kutumika kisiasa! Tunashindwa kuwelewa kama nyie ni Television ya Taifa au tawi la chama?
Ubora wa picha ni sifuri kabisa!
Nchi hii imejaa vijana zaidi ya 70% nyie asilimia 80 ya vipindi vyenu ni vya kizee!
Mnashindwa hata kuonesha mechi ya Taifa stars mmekalia ziara za viongozi wa chama wakitembelea matawi sijui kigoma gani huko!
Mmetangaza kufunga mitambo mipya ya kisasa na picha ndo kabisa zimerudi zile za kiwango cha chini kabisa!
Subirini na wengine wanakuja na mjiandae kwa POVU ZAIDI
Hureeeeeeeeeee 👍👍👍
 
Ndugu WanaJF,

Kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi na hata hapa JF kuhusiana na changamoto ya vipindi vya Televisheni ya Taifa (TBC1). Malalamiko hayo yameegemea zaidi katika eneo la ubora wa picha na ubunifu wa vipindi.

Kwa bahati nzuri, Mkurugenzi pamoja na Watendaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) ni wadau wakubwa wa JamiiForums na huwa wanafuatilia taarifa na mijadala mbalimbali inayoendelea hapa. Hivyo tukiitumia vyema nafasi hii, tutawasaidia kuboresha maeneo ambayo yanatakiwa kurekebishwa kwa haraka.

Naomba tutumie uzi huu kutoa maoni, ushauri na mapendekezo kuhusu aina ya vipindi na ubunifu ambao ukitumiwa utasaidia kuifanya televisheni hii ya taifa kuvutia kutazamwa na kufurahiwa.

Tumeshalalamika sana. Sasa ni wakati wa kuchukua hatua na kutaja suluhu kwa mifano ili kuimaliza changamoto hii kabisa.

Karibuni sana.
muda hauzingatiwi kama kipind ni cha nusu saa ikiisha kata weka pindi linalofata.watu tunatenga muda kucheki pindi fulan muda ukifika unaletewa tukio la kada wa chama kafungua tawi,guys badilixheni na makamera yenu tumechoka kuona vumbi arif,naomba kuwasilisha.
 
Manabii na mitume mliomo humu,Mimi naitaji maombi maalum ili nipate hamu ya kutazama TBC japo kidogo tu.maana kila nikiilenga TBC automatic hamu inakata kabla yenyewe haijatokea,hivyo naamia Chanel zingine au nazima kabisa TV.
 
1.mtangazaj anapepesa macho huku na huku,yaan against cameraz

2.kivuli...yaan upande m1 wa mtangazaj una giza,no lights
3.saut ni mgogoro.

4.wanaweka watangazaj wa redio kwenye tv,bas ni kituko,mtu anasoma habar huku kaangalia chin.

Well,nmerud nmekuta kingamuz kmeisha,bas channel100dish na tbc tuu ndo znaonekana

Ni lawama kwakwel...mambo ni meng ila sio kihvyo tbc

Uzi tayari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mavazi yao sasa.....halafu waangalie na maumbo ya watu wa kutangaza...mtu anatangaza yani umbo nene hata havutii
 
1.mtangazaj anapepesa macho huku na huku,yaan against cameraz

2.kivuli...yaan upande m1 wa mtangazaj una giza,no lights
3.saut ni mgogoro.

4.wanaweka watangazaj wa redio kwenye tv,bas ni kituko,mtu anasoma habar huku kaangalia chin.

Well,nmerud nmekuta kingamuz kmeisha,bas channel100dish na tbc tuu ndo znaonekana

Ni lawama kwakwel...mambo ni meng ila sio kihvyo tbc

Uzi tayari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti nimekupa na Like!
 
angalia channel ten ndo wamehaidiwa kupewa M200 watakuwa wamefanya marekebisho mazuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom