...Chaneli yenu mpya ya "Tanzania Safari" iwepo katika Ving'amuzi vyote. Itawaongezea pointi nyingi mkiisimamia vizuri.
Tuambiane mapema nani anamiliki hii kitu?¿¡!
Tunaambiwa mpaka taratibu za kisheria zifuatwe.
Wanatakiwa warushe zile tv kama fta, wametikisa. Minara na ofisi zao ni gharama ya nchi.
Nakumbuka waliplug state of art mobile tv truck kama la zim.
Hiki kweli ni kiziba mdomo tosha, kawaida kuna mengine na yajayo tunayasubiri.
...