Marco Exavery
Member
- Aug 14, 2016
- 31
- 5
Quality ya picha sio nzuri
Maoni gani sasa haya? Jifunze kuwa mstaarabu.MAVI KWELI WEWE
Hata mimi...maana hapa naskiliza wasafi fm ni miziki kwenda mbeleTbc ninayoweza kuiangalia ni ile inayopiga miziki peke yake
Wamuulize wakati wameshamfungulia kesi, hovyo kabisa hawa jamaaTBC hata mkipewa CNN muiendeshe ndani ya wiki 2 tu itakuwa haina watamazaji.
Muulizeni Tido Mhando alikuwa akifanyaje? Ondoeni upupu wenu humu.
Hawana kazi nyingine wanayoweza kuifanyaHivi zaidi ya kumwagia SIFA Magufuli hii Tv ina nini cha zaidi?
TBC inakosa watazamaji kwa vile inachanganya wananchi.Ndugu WanaJF,
Kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi na hata hapa JF kuhusiana na changamoto ya vipindi vya Televisheni ya Taifa (TBC1). Malalamiko hayo yameegemea zaidi katika eneo la ubora wa vipindi na ubunifu.
Kwa bahati nzuri, Mkurugenzi pamoja na Watendaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) ni wadau wakubwa wa JamiiForums na huwa wanafuatilia taarifa na mijadala mbalimbali inayoendelea hapa. Hivyo tukiitumia vyema nafasi hii, tutawasaidia kuboresha maeneo ambayo yanatakiwa kurekebishwa kwa haraka.
Naomba tutumie uzi huu kutoa maoni, ushauri na mapendekezo kuhusu aina ya vipindi na ubunifu ambao ukitumiwa utasaidia kuifanya televisheni hii ya taifa kuvutia kutazamwa na kufurahiwa.
Tumeshalalamika sana. Sasa ni wakati wa kuchukua hatua na kutaja suluhu kwa mifano ili kuimaliza changamoto hii kabisa.
Karibuni sana.
Mpaka kufikia hapa naamini pasi na shaka mlete mada hii atakuwa amepata Points za kutosha kwenda kujadiliana na wenzake huko Tbc, ingawaje hakuwahi kujibu swali aliloulizwa kwamba yeye ni nani pale tbc , yaani ana nafasi gani kama ni Kimamlaka, lakini akijadiliana na wenzake pale na wakatafuta majibu sahihi ya maoni na ushauri uliotolewa hapa nasi tunategemea ataleta feedbackTBC inakosa watazamaji kwa vile inachanganya wananchi.
Wananchi wanashindwa kuelewa kwamba ni TV ya uma inayoendeshwa kwa kodi zao au ni TV ya chama cha mapinduzi.
Ili kuboresha TBC na iwe na watazamaji wengi, waibadilishe jina kutoka TBC na kuwa CCMTV.
TBC Watambue kua hicho chombo ni cha Watanzania, wamiliki wa TBC ni watanzania wote, wakiwemo wana CCM, Wana CHADEMA, Na wengine ambao sio wanasiasa. kama wataamua kurusha mikutano ya kisiasa basi wasiegeemee CCM tu, warushe ma vipindi vya CHADEMA... They a so biase.. ndo maana TBC inachukiwa na haina watazamaji Zaidi ya wazee...Ndugu WanaJF,
Kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi na hata hapa JF kuhusiana na changamoto ya vipindi vya Televisheni ya Taifa (TBC1). Malalamiko hayo yameegemea zaidi katika eneo la ubora wa vipindi na ubunifu.
Kwa bahati nzuri, Mkurugenzi pamoja na Watendaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) ni wadau wakubwa wa JamiiForums na huwa wanafuatilia taarifa na mijadala mbalimbali inayoendelea hapa. Hivyo tukiitumia vyema nafasi hii, tutawasaidia kuboresha maeneo ambayo yanatakiwa kurekebishwa kwa haraka.
Naomba tutumie uzi huu kutoa maoni, ushauri na mapendekezo kuhusu aina ya vipindi na ubunifu ambao ukitumiwa utasaidia kuifanya televisheni hii ya taifa kuvutia kutazamwa na kufurahiwa.
Tumeshalalamika sana. Sasa ni wakati wa kuchukua hatua na kutaja suluhu kwa mifano ili kuimaliza changamoto hii kabisa.
Karibuni sana.
No comment hapo umemaliza mkuu1.Acheni u ccm unawezaje kurusha ziara,mikutano ya ccm halafu bunge usionyeshe live?
2.Mbona habari za vyama,viongozi wa upinzani hamzionyeshi?
3.Kuwe na taarifa ya habari za uchunguzi wa kero za wananchi siyo kuonyesha mikutano ya viongozi.
4.Taarifa za Habari ziwe kwa kiingereza na kiswahili.
5.Mipira michezo jitahidini sana kuonyesha live
6.Kuwe na vipindi vya kilimo cha kisasa teknolojia mpya uzalishaji katika viwanda kero zao
Hapan uwe mpole wape ushaur hahahahaUshaur wangu mzime tu hilo litakataka lenu, yan hata mjirekebishe vp hatutaangalia uchafu huo
Hapa c ussiem n ubora wa vpnd na.pcha mkuu hope wakifany ivo itakuwa safii chief!
!
Haina Haja Ya Kuboresha. Sisiemu Ina Wanachama Wengi Zaidi Na Inakubalika Kwa Kasi Ya Tsunami Kwa Vyovyote Vile Watakuwa Wanaipenda Na Kuangalia Sana. Nashauri Muiache Tu.