TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

TBC mnakifua kipana jmn !!! Ujasiri WA kuleta Uzi humu mmepata wapi??hakikisheni mnatoa majibu kwa kila anayetoa maoni yake!! Hili ndio jukwaa ambalo watu wanaweza kujieleza kwa Uhuru fulani
 
tbc mpya?...hili ni tusi kwa watazamaji wenu wanaopoteza muda wao kuwatazama
 
TBC, kuweni na mfumo wa HD. Be the best Television ya Taifa. Mung'ao wa picha sio mzuri yaani hauvutii kabisa kuangalia TBC1 or 2. Ni kero tu.
 
TBC hata mkipewa CNN muiendeshe ndani ya wiki 2 tu itakuwa haina watamazaji.

Muulizeni Tido Mhando alikuwa akifanyaje? Ondoeni upupu wenu humu.
Wamuulize wakati wameshamfungulia kesi, hovyo kabisa hawa jamaa
 
Badilisheni muonekano wa picha zenu, teknolojia inawaacha. Acheni kung'ang'ania IT wazee. Acheni kuwa na habari za mlengo mmoja, badilisheni mandhari ya studio zenu! Live coverage muwage serious jamani hee! Picha ka zimepigwa enzi za chifu Mangungo wa Msovero!
 
Ndugu WanaJF,

Kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi na hata hapa JF kuhusiana na changamoto ya vipindi vya Televisheni ya Taifa (TBC1). Malalamiko hayo yameegemea zaidi katika eneo la ubora wa vipindi na ubunifu.

Kwa bahati nzuri, Mkurugenzi pamoja na Watendaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) ni wadau wakubwa wa JamiiForums na huwa wanafuatilia taarifa na mijadala mbalimbali inayoendelea hapa. Hivyo tukiitumia vyema nafasi hii, tutawasaidia kuboresha maeneo ambayo yanatakiwa kurekebishwa kwa haraka.

Naomba tutumie uzi huu kutoa maoni, ushauri na mapendekezo kuhusu aina ya vipindi na ubunifu ambao ukitumiwa utasaidia kuifanya televisheni hii ya taifa kuvutia kutazamwa na kufurahiwa.

Tumeshalalamika sana. Sasa ni wakati wa kuchukua hatua na kutaja suluhu kwa mifano ili kuimaliza changamoto hii kabisa.

Karibuni sana.
TBC inakosa watazamaji kwa vile inachanganya wananchi.
Wananchi wanashindwa kuelewa kwamba ni TV ya uma inayoendeshwa kwa kodi zao au ni TV ya chama cha mapinduzi.
Ili kuboresha TBC na iwe na watazamaji wengi, waibadilishe jina kutoka TBC na kuwa CCMTV.
 
Mpaka kufikia hapa naamini pasi na shaka mlete mada hii atakuwa amepata Points za kutosha kwenda kujadiliana na wenzake huko Tbc, ingawaje hakuwahi kujibu swali aliloulizwa kwamba yeye ni nani pale tbc , yaani ana nafasi gani kama ni Kimamlaka, lakini akijadiliana na wenzake pale na wakatafuta majibu sahihi ya maoni na ushauri uliotolewa hapa nasi tunategemea ataleta feedback
 
Ndugu WanaJF,

Kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi na hata hapa JF kuhusiana na changamoto ya vipindi vya Televisheni ya Taifa (TBC1). Malalamiko hayo yameegemea zaidi katika eneo la ubora wa vipindi na ubunifu.

Kwa bahati nzuri, Mkurugenzi pamoja na Watendaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) ni wadau wakubwa wa JamiiForums na huwa wanafuatilia taarifa na mijadala mbalimbali inayoendelea hapa. Hivyo tukiitumia vyema nafasi hii, tutawasaidia kuboresha maeneo ambayo yanatakiwa kurekebishwa kwa haraka.

Naomba tutumie uzi huu kutoa maoni, ushauri na mapendekezo kuhusu aina ya vipindi na ubunifu ambao ukitumiwa utasaidia kuifanya televisheni hii ya taifa kuvutia kutazamwa na kufurahiwa.

Tumeshalalamika sana. Sasa ni wakati wa kuchukua hatua na kutaja suluhu kwa mifano ili kuimaliza changamoto hii kabisa.

Karibuni sana.
TBC Watambue kua hicho chombo ni cha Watanzania, wamiliki wa TBC ni watanzania wote, wakiwemo wana CCM, Wana CHADEMA, Na wengine ambao sio wanasiasa. kama wataamua kurusha mikutano ya kisiasa basi wasiegeemee CCM tu, warushe ma vipindi vya CHADEMA... They a so biase.. ndo maana TBC inachukiwa na haina watazamaji Zaidi ya wazee...
TBC ni channel ya mwisho Tanzania kuwa na mashabiki/watazamaji....
 
TBC mmeshajiboresha ubora wa picture na sauti na vipindi? Mnapitwa na tv changa
Kama africa swahili tv nk?
Ikibadilika mnijuze mkianza kuwatumikia walipa kodi na sio chama tawala mm nawaona TBCCM na sio TBC. Badilikeni tupeni habari ambazo hazina upendeleo
 
TBC mnaweza kweli kuweka ratiba ya vipindi vyenu? Teh teh teh teh teh( in king majuto's voice. R.I.P)
 
1.Acheni u ccm unawezaje kurusha ziara,mikutano ya ccm halafu bunge usionyeshe live?
2.Mbona habari za vyama,viongozi wa upinzani hamzionyeshi?
3.Kuwe na taarifa ya habari za uchunguzi wa kero za wananchi siyo kuonyesha mikutano ya viongozi.
4.Taarifa za Habari ziwe kwa kiingereza na kiswahili.
5.Mipira michezo jitahidini sana kuonyesha live
6.Kuwe na vipindi vya kilimo cha kisasa teknolojia mpya uzalishaji katika viwanda kero zao
No comment hapo umemaliza mkuu
 
Back
Top Bottom