Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 13,992
- 20,283
shogaa kwa huku Arusha ni rafiki, mfano Mrisho gambo ni shoga ake Godbless LemaDa we dada bana,mi dume nimekuwa shogaako tena
shogaa kwa huku Arusha ni rafiki, mfano Mrisho gambo ni shoga ake Godbless LemaDa we dada bana,mi dume nimekuwa shogaako tena
Haijawahi kutokea tumepata jaji mfawidhi wa hovyo hovyo hivishogaa kwa huku Arusha ni rafiki, mfano Mrisho gambo ni shoga ake Godbless Lema
Sikubaliani nawe Media ni chombo ambacho unweza ingiza pesa kama TBC2 kwanini wasingeiweke kibiashara zaidi kuliko kuipigia miziki ujue unaweza kuwa hupewi pesa na baba ila ukauza peya yako moja ya viatu ukapat mtaji ata wa 20000 ukauza nyanya polepole ukajisogeza sasa yeye na PhD yake sioni anachokifanya serikali ina halmashauri nyingi sana kwann asitafute tenda watangaze miradi ya halmashauri mbalimbali tena kwa punguzo LA bei sababu ni chombo cha serikali unaisi asingepata tenda? TBC 2 ipo haina inachofanyashida sio ubunifu shida ni NCHI haina bajeti ya MEDIA zake
haya una ubunifu unautumiaje huo ubunifu wako kama Hupewi FUNGU (pesa)
Tena awamu hiii mpk fedha upewe ufanyie kitu cheque iwe na saini 20
Muda wakufatilia hayo yote wanini? acha mkurugenzi adeal na watu wanaochelewa kazini
na waomba ruhusa
Sawa mrembosorry my
HahahahaLabda huwa Kuna muda wanakipindi Cha Audio kisha wanarudi video,huwezi jua ya tbc mengi.
Sure, tbc imerudi nyuma badala ya kwenda mbeleHuyu mkurugenzi wa TBC kwakweli amefeli sana kuiboresha iyo televisheni.
Yaani kuna muda unasikia sauti tu picha uhoni kabisa,, acha mambo mengine mengi ya ovyoovyo,, yaan hata WASAFI TV ina ubora kuliko TBC
Hii Ndo hasara ya kuajiri wazee badala ya vijana. Eti kisa wana PHD na Masters huku wenye talent na ubunifu wakichaniwa CV zao getini.
Kabisa Tido Mhando tu ndio dawa hapo. Inatakiwa iwe idhaa huruTBC hata mkipewa CNN muiendeshe ndani ya wiki 2 tu itakuwa haina watamazaji.
Muulizeni Tido Mhando alikuwa akifanyaje? Ondoeni upupu wenu humu.
Tido Mhando bonge moja la kiongozi. Nilikuwa sikosi taarifa ya habari enzi hizo.TBC ya Mhando ilikuwa bora kuliko tv station zoote tz
Kwahiyo taasisi ya serikali ikijitegemea ndio itakuaje? BBC bado selikari yao inaendesha 100%Kama una nia kweli ya kuibadirisha TBC. Kwanza iwe idhaa inayojitegemea. Ondokana na kuingiliwa na mtu yoyote (hii ngumu kwenu)
Pili nenda kapate ushauri kwa Tido Mhando
Hujaielewa sio kujitegemea kwa serikali kuondoka kuiendesha. Umeona ilivyo BBC? Hata kiongozi yoyote akikosea anazungumziwa kwa uwazi kabisa. Na anahojiwa maswali mazijo kbs na BBC (Ndivyo ilivyokuwa TBC ya Mhando). (Sivyo ilivyo TBC ya kuambiwa na wanaoiendesha kipi cha kuwekwa wazi na kipi achana nacho-hata kama kina manufaa kwa Taifa. Lakini kwa maslahi ya wachache itaambiwa hiki acha,utagusa watu fulani. Ijiendeshe yenyewe kwa namna ya habari za kiuchunguzi izilete kama ilivyozichunguza,sio mpaka tena watake watu fulani nje ya chombo chenyeweKwahiyo taasisi ya serikali ikijitegemea ndio itakuaje? BBC bado selikari yao inaendesha 100%
Toa pendekezo, atumbuliwe asitumbuliwe?Huyu mkurugenzi wa TBC kwakweli amefeli sana kuiboresha iyo televisheni.
Yaani kuna muda unasikia sauti tu picha uhoni kabisa,, acha mambo mengine mengi ya ovyoovyo,, yaan hata WASAFI TV ina ubora kuliko TBC