Tbc mnatia aibu


N

NALO LITAPITA

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Messages
306
Likes
23
Points
35
N

NALO LITAPITA

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2011
306 23 35
TBC tambueni mnatumia kodi za wanachi, ili tu muweze kuupa umma habari. Kuna hili suaala la aliyekuwa mwenyekiti wa CCM Mwanza kuuwawa na wananchi katika taarifa ya habari saa mbili hii hamjaona ni taarifa kweli? hata kama hamfanyi kazi za CCM nani ataacha kuamini kuwa mnatumiwa?
 

Forum statistics

Threads 1,252,079
Members 481,989
Posts 29,794,899