TBC mnafeli wapi katika michezo?

Imembe

Member
Nov 13, 2020
51
44
Jamani niende moja kwa moja kwenye maada.

Hivi chanel ya kitafa kama Tbc wanashindwa wapi kurusha mechi za kimataifa kama Taifa star wanacheza?

Mbona nchi jirani wamefanikiwa katika hilo?

Natumahi humu kuna maafsa wa Tbc ebu mtujuze.

Mbona kampeni mnalusha live na shughuli za kiserikali?
 
Back
Top Bottom