TBC mmeripoti sivyo taarifa kuhusu ziara ya Rais Mwanza utiaji saini wa ujenzi wa meli mpya

mnengene

JF-Expert Member
Nov 21, 2011
4,089
6,273
Leo nilibahatika kusikiliza taarifa ya habari ya saa 2 usiku .
Kilichonishangaza ni pale waliporipoti kwamba raisi kulipa malimbikizo ya mishahara ya zaidi ya billion 3 watumishi wa bandari.

Kiukweli sio bandari ni shirila la Meli Tanzania, Tanzania Marine Service Company.
Kimsingi nimewadharau sana mnaendelea kujishusha, yaani halafu watangazaji walikuwa wanajichanganyachanganya Sana, hususani Yule mama, na Gabriel sikuhizi sijui umekuaje, naona huna confidence kabisa
 
Hata wao wamechoka pia, vyuma haviangalii kuwa huyu ccm au ukawa. vinakaza kote
 
Duh, kweli tbc hii sio ile ya Tido Mhando yani imepoteza mvuto watu hawataki kuitizama! Kuna pahala patakua hapako sawa inabidi wajirekebishe ili tujivunie kuitizama channel yetu pendwa ya taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom