TBC mko wapi?

Pragmatist

Member
Sep 21, 2012
18
1
Televisheni ya Taifa (TBC) imetoweka hewani kwenye dish kwa zaidi ya wiki mbili sasa bila taarifa. Mbona hamtupi sababu au ndo mnatulazimisha tununue ving'amuzi vya mbia wenu Star Times? Tunakumbuka yaliyotokea enzi za Mkurugenzi wenu aliyeng'olewa. Acheni ubabaishaji. Tunataka kodi zetu zitumike kuhalali.
 
kila sekta ni shida tu,kwa upande wa habari namkumbuka sana DUSTAN TIDO MHANDO - Chini yake mambo yalienda vizuri kwa kasi

ya ajabu tuliipenda sana TBC na redio yake lakin kwa sasa inatia huzuni zaid imepoteza mwelekeo kabisa.
 
vry true,TBC siku hizi ni mali ya chama flun cha siasa.ovyo kabisa.
 
Una muda wa kupoteza kweli kuimiss TBCCM? Me nilishaidelete miaka kitambo, in short it's non existent to me!!!!
 
Ipotee milele. Nothing to loose

Hapana mkuu wanatumia kodi zetu, nisis ndio tunaopoteza visenti vyetu kwa hawa mafisadi maana wanafisadi hata habari

ambayo ni haki kwa kila mtanzania kuipata na hasa walalahoi Super sport takribani Tsh. 127,000/mwezi. tutaweza?

Tunamshukuru mzee Mengi sana kutuona na Antony Diallo kwakusaidia upashanaji habari. Ch10 nao hawaelewiki hewani nikama wapo na hawapo.
 
walikuwa bize kwenye mkutano wao wa chama dodoma, naona wanafunga mitambo warudi dar.:mimba:
 
Mimi siamini katika ukabila, lakini naomba kujuzwa, jee kabila la mtu ni determinant ya jinsi atakavyoongoza shirika, kampuni au taasisi???. Nashangaa tu Mhando Tanesco magumashi, Mhando TBC bomba, Mshana TBC magumasi etc etc
 
Televisheni ya Taifa (TBC) imetoweka hewani kwenye dish kwa zaidi ya wiki mbili sasa bila taarifa. Mbona hamtupi sababu au ndo mnatulazimisha tununue ving'amuzi vya mbia wenu Star Times? Tunakumbuka yaliyotokea enzi za Mkurugenzi wenu aliyeng'olewa. Acheni ubabaishaji. Tunataka kodi zetu zitumike kuhalali.

Si huwa mnasema hamuangalii TBC nyie? Sasa mwataka ipatikane ili iweje?
Enewei, inawezekana wamebadili masafa au kitu kama hicho.
 
Mimi siamini katika ukabila, lakini naomba kujuzwa, jee kabila la mtu ni determinant ya jinsi atakavyoongoza shirika, kampuni au taasisi???. Nashangaa tu Mhando Tanesco magumashi, Mhando TBC bomba, Mshana TBC magumasi etc etc
Hilo nalo wazo mkuu.Hakina Yuda huwa hawakosi.Aliyepo anaogopa kuonyesha makucha wasiMHANDO.Chezea mfumo wewee..Toothles dog.Tutakulilia MHANDO
 
Mi huwa siangaliangi channel ambayo hainimasishi kuangalia,ilishakosa Mvuto wa kuangalia.Labda Chereko.Kumbe haipo hewani.Hamia Star Tv,ITV.Uone Utofauti.Maprogram kem kem
 
mhando mhando mhando mhando mhando mhando mhando mhando mhando
mhando mhando mhando mhando mhando mhando mhando mhando mhando mhand
mhando mhando mhando mhando mhando mhando mhando mhando mhando mhando mhando mhando mhando
mhando mhando mhando mhando mhando mhando mhando mhando mhando mhando mhando mhando mhando mhando mhando
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom