Tbc mbona wanapenda kutusumbua watanzania?

vamda

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
865
535
Nimesikitishwa na kituo cha matangazo cha TBC cha kuchelewa kurusha fainali ya BONGO STAR SEARCH tarehe 30/ 11/ 2013. Walitutangazia wangeanza saa 3 usiku lakini mpaka sasa mida saa 5 usiku bado hawajarusha matangazo hayo badala yake wanaendelea kutupigia miziki mbalimbali. Wameshindwa hata kutoa tangazo la komba radhi kwa wananchi. Tbc mbona wanapenda kutusumbua watanzania?
 
muwe mnatumia akili mashindano yameanza saa 4 na dakika kazaa .Nyie mnataka TBC warushe kipindi saa 3 mlitaka kuona nini? au mlitaka kuona viti na watu wakiwa wanaingia.?

kama wangechelewa kuanza na wangeanza baada ya mashindano kuanza apo sawa. Watanzania mmezoea kulalamika tu bila sababu mnadeka sijui.

apo mwenye makosa tbc au waandaji? achen hizo bhana
 
Umevishwa capelo ya njano na kijani sasa unaona umekua mouth piece ya vitu vyote pro sio sie mimi.
hata vya kipuuzi
 
Mbona hata Wewe Unatusumbua na Lawama Zako? Si Ulale tu! Wenye Mahaba na EBSS Tupo Gado na Macho na Tunashuhudia Kwa Raha Zetu na Maina Thadei Asiposhinda Leo Naruhusu Demu Wangu Niliyeachana Nae MUMGEGEDE Tu:smile-big:
 
Back
Top Bottom