vamda
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 865
- 535
Nimesikitishwa na kituo cha matangazo cha TBC cha kuchelewa kurusha fainali ya BONGO STAR SEARCH tarehe 30/ 11/ 2013. Walitutangazia wangeanza saa 3 usiku lakini mpaka sasa mida saa 5 usiku bado hawajarusha matangazo hayo badala yake wanaendelea kutupigia miziki mbalimbali. Wameshindwa hata kutoa tangazo la komba radhi kwa wananchi. Tbc mbona wanapenda kutusumbua watanzania?