Elections 2010 TBC-Matokeo ya rais kitaifa yanasomwa

Kwa nini anasoma majimbo yale ambayo CCM imefanya vizuri tu? **** walakini mkubwa sana katika hili. Kasema eti majimbo mengine atasoma saa mbili usiku. Kweli hakuna haki tena Tanzania
 
Kwa nini anasoma majimbo yale ambayo CCM imefanya vizuri tu? **** walakini mkubwa sana katika hili. Kasema eti majimbo mengine atasoma saa mbili usiku. Kweli hakuna haki tena Tanzania

They will not rule this country forever and they should remember that there is an unseen power in the Universe at whose command everything bows down.
 
Wakuu tulieni,jioni tutakuwa tumemaliza kusheherekea,akitangaza matokeo ya Kilimanjaro na mini nitakuwa na notebook yangu kuhakiki. Haibiwi mtu.
 
They will not rule this country forever and they should remember that there is an unseen power in the Universe at whose command everything bows down.

True revolution is never forced, when it is to come no body, no means can stop it. No gun, no tear gas, no army no propaganda. Watanzania tumeshaamua, tuwe tiyari kwa lolote lakini tusiache kutetea kile ambacho ni haki yetu.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Guns or no guns, the people of Tanzania have decided. Hawa majambazi wa CCM lazima wakubaliane na nguvu ya umma.
 
Kazi ipo Tanzania!! Naona huruma sana. Natamani niwe mwenyekiti wa uchaguzi Tanzania!!
 
Kwa nini anasoma majimbo yale ambayo CCM imefanya vizuri tu? **** walakini mkubwa sana katika hili. Kasema eti majimbo mengine atasoma saa mbili usiku. Kweli hakuna haki tena Tanzania

Does that change results? Jamani Watanzania mumezidi kulalama.
 
Naomba tuwe wavumilivu kwa hili. Kuna wakati pia hata aliyeshindwa anaweza matokeo yanayomhusu yakaanza kutolewa.
 
huyu mwenyekiti wa tume huo uso wake unamsuta.mie naona huyu ndie mchakachuaji mkubwa kuliko ho ccm.halafu unaambiwa ati ndio amekula kiapo mekula kiapo kwa dini gani?
 
Back
Top Bottom