TBC kwenye tafakuri ya leo wametumia wazo langu bila kusema wametoa kwangu

Niliwai kuweka bandiko hapa nikiwashauli walimu wachangamkie fulsa kipindi hiki cha Covd19 sasa leo nimewasikia wakiishauri serikari kupitia tafakuri naona kile nilichokuwa nimeandika na wao wameludia hicho hicho bila hata kusema wazo hili wamelitoa Hapa. Bandiko ni hili hapa. Kutokana na kipindi hiki cha mpito cha Corona, Walimu changamkieni hii fursa - JamiiForums
Sasa mkuu wewe ulitakaje labda😀 au wakati kipindi kinaendelea wanazungumza na wewe wakurushe kama vile wapi 'kigogo1ivi nakati ya jamii forum' kama wanavyorushwa akina ndama mtoto wa ng'ombe, ostadh juma na musoma, papaa msofe etc.
 
Ukiwa na wazo lako zuri unabidi ulitaftie usajiri , hill likitumika ulipwe kama akina Tid msemo wake wa inakuja , inakataa.
 
Niliwai kuweka bandiko hapa nikiwashauli walimu wachangamkie fulsa kipindi hiki cha Covd19 sasa leo nimewasikia wakiishauri serikari kupitia tafakuri naona kile nilichokuwa nimeandika na wao wameludia hicho hicho bila hata kusema wazo hili wamelitoa Hapa. Bandiko ni hili hapa. Kutokana na kipindi hiki cha mpito cha Corona, Walimu changamkieni hii fursa - JamiiForums
wewe kwako herufi R hamna ni L kwa kwenda mbele. haya hongera ila jifunze kuandika vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kitu cha kawaida mawazo kufanana. Hujawahi kuwa na wazo fulani la biashara ukakaa nalo bila kumwambia mtu ila ukashangaa baada ya mwezi ukakuta mtu kafanya kilekile ulichowaza last month?
 
Niliwai kuweka bandiko hapa nikiwashauli walimu wachangamkie fulsa kipindi hiki cha Covd19 sasa leo nimewasikia wakiishauri serikari kupitia tafakuri naona kile nilichokuwa nimeandika na wao wameludia hicho hicho bila hata kusema wazo hili wamelitoa Hapa. Bandiko ni hili hapa. Kutokana na kipindi hiki cha mpito cha Corona, Walimu changamkieni hii fursa - JamiiForums
Kwanza hujulikani eti kigogo 1 ivi basi wawe wanakurusha kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mkuu wewe ulitakaje labda au wakati kipindi kinaendelea wanazungumza na wewe wakurushe kama vile wapi 'kigogo1ivi nakati ya jamii forum' kama wanavyorushwa akina ndama mtoto wa ng'ombe, ostadh juma na musoma, papaa msofe etc.
 
Back
Top Bottom