Tbc kwanini mnashindwa kutuonyesha/kutangaza miechi za taifa stars nje ya nchi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tbc kwanini mnashindwa kutuonyesha/kutangaza miechi za taifa stars nje ya nchi.

Discussion in 'Sports' started by MASIKITIKO, Jun 2, 2012.

 1. M

  MASIKITIKO JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 841
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 60
  Tangu kuondoka kwa Tido Mhando TBC imeshindwa kuonyesha au kutangaza live mechi za timu ya soka ya Tanzania,inasikitisha sana pamoja na kuendeshwa kwa kodi zetu lakini imekua ikihusika na kutangaza mambo ya Siasa sana
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Unashauri nini mkuu, baada ya kusikitika?
   
 3. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kaka naunga mkono na mguu hoja,tangu kuondoka kwa Mzee Tido TBC imekuwa "Kaputi" kabisa,yaani utafikiri siyo Television ya Taifa bwana,yaani wanapitwa hata na StarTv,yaani ina'bore sana.
   
 4. a

  achilles Senior Member

  #4
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We must go back to the forest,loaded enough and ready for the battle.Au tùuze nchi bàada ya sensa kuisha tufanye mgawo kila mwananchi achukue chake ajue aendako.
   
 5. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,325
  Likes Received: 2,627
  Trophy Points: 280
  Hiyo ndio hali halisi ya nchi dunia ya tatu
   
Loading...