MR.NOMA
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 338
- 504
Katika hali ya kustaajabisha mapema leo kiongozi wa wafanyakazi tbc amepigwa marufuku kuingia getini/ ofcn na huku ni muajiriwa wa kudumu katika taasisi hiyo,hilo limejiri baada ya msuguano kati ya wafanyakazi wakiongozwa na MAKWEGA kudai mambo ya msingi kwa mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo.MH NAPE WASAIDIE HAWA JAMAA, HILI JAMBO NI LA OFC YAKO