TBC kuna nini.?Mnatuangusha watanzania

jiwe angavu

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
19,058
35,833
Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja.

Kusema ukweli hii television ya taifa inatia aibu hata kama hamko ki biashara ila hata ubunifu mnakosa.

Jaribuni kuwa wabunifu japo kidogo hata kama mnategemea rudhuku ya serikali kujiendesha.

Msimamizi wa vipindi sijui hili halioni vipindi vingi na matangazo vinarudiwa sana unaweza kuta kipindi ulichokitazama au tangazo ulilolitazama mwezi uliopita liko vile vile kila kitu vile vile nabaki najiuliza hivi ndio tumeishiwa hivi.

kwa mfano kuna kipindi cha mziki cha leo zinazokiki bongo yani miziki ni ile ile tangu mwezi huu umeanza huo ni mfano wa mengi ninayo yaona.

Kingine Quality ya picha/videos kusema ukweli ziko low jaribuni nitazama hata kwa wenzetu Rwanda TV.

Narudia tena TBC mnatuangusha waTz.

Nawasilisha..
 
Mimi ninachefukwa sana kuiona kwenye king'amuzi nilichonunua kwa fedha zangu mwenyewe. Azam kama mnanisikia, ondoeni TBC kwenye king'amuzi changu, yawezekana ndio sababu mvua zikinyesha nakosa matangazo
 
Suluhisho waajiri vijana wataalamu wenye mawazo mapya, na walete vifaa vipya vya kisasa.
 
Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja.

Kusema ukweli hii television ya taifa inatia aibu hata kama hamko ki biashara ila hata ubunifu mnakosa.

Jaribuni kuwa wabunifu japo kidogo hata kama mnategemea rudhuku ya serikali kujiendesha.

Msimamizi wa vipindi sijui hili halioni vipindi vingi na matangazo vinarudiwa sana unaweza kuta kipindi ulichokitazama au tangazo ulilolitazama mwezi uliopita liko vile vile kila kitu vile vile nabaki najiuliza hivi ndio tumeishiwa hivi.

kwa mfano kuna kipindi cha mziki cha leo zinazokiki bongo yani miziki ni ile ile tangu mwezi huu umeanza huo ni mfano wa mengi ninayo yaona.

Kingine Quality ya picha/videos kusema ukweli ziko low jaribuni nitazama hata kwa wenzetu Rwanda TV.

Narudia tena TBC mnatuangusha waTz.

Nawasilisha..

Sasa kama tu Msimamizi wa Kipindi sasa anakaribia kugonga 73+ Kiumri hivi unategemea kabisa atakuwa na energy ya kuanza kuzunguka zunguka katika Madawati ya Waandishi na Watangazaji ili awe anawaongoza na anawasimamia waweze kufanya hayo unayoyataka Mkuu? Ukiona Bosi Wao ukiona tu kaamka katika Kiti chake jua mkojo umembana au anaenda tu kupiga ile ndefu zaidi ya hapo muda wote utamkuta amesinzia tu Kitini Kwake na mwisho wa mwezi anakinga vile vile.
 
Humu ndani kuna thread kibao zinazohusu mapungufu ya hao jamaa.

Waacheni sasa wajifie tu maana wapo kwajiri ya kurusha mikutano ya ccm na vinginevyo.

Walimwondoa Tido Mhando kwasababu ya upuuzi wao wa kuweka maslahi ya vyama vya siasa mbele, wanaamini TBC na ccm ni mtu na mdogo wake.
 
Tangu lini vitu vya serikali vikafanya vizuri. Kila kitu ninaendeshwa bora liende mwisho wa mwezi mshahara unakinga biashara imeisha..
 
Humu ndani kuna thread kibao zinazohusu mapungufu ya hao jamaa.

Waacheni sasa wajifie tu maana wapo kwajiri ya kurusha mikutano ya ccm na vinginevyo.

Walimwondoa Tido Mhando kwasababu ya upuuzi wao wa kuweka maslahi ya vyama vya siasa mbele, wanaamini TBC na ccm ni mtu na mdogo wake.
Wametanguliza siasa kwenye maendeleo..ila hatuachi kuwaambia..hii tv ya taifa kama wanataka siasa wa seme tu CCM tv kwani kinawashinda nn kuliko kujificha kwenye mgongo wa taifa .
 
Sasa kama tu Msimamizi wa Kipindi sasa anakaribia kugonga 73+ Kiumri hivi unategemea kabisa atakuwa na energy ya kuanza kuzunguka zunguka katika Madawati ya Waandishi na Watangazaji ili awe anawaongoza na anawasimamia waweze kufanya hayo unayoyataka Mkuu? Ukiona Bosi Wao ukiona tu kaamka katika Kiti chake jua mkojo umembana au anaenda tu kupiga ile ndefu zaidi ya hapo muda wote utamkuta amesinzia tu Kitini Kwake na mwisho wa mwezi anakinga vile vile.
73+ hajastaafu tu au alifoji cheti cha kizaliwa..sio siri inahitajika blood mpya.
 
Mimi ninachefukwa sana kuiona kwenye king'amuzi nilichonunua kwa fedha zangu mwenyewe. Azam kama mnanisikia, ondoeni TBC kwenye king'amuzi changu, yawezekana ndio sababu mvua zikinyesha nakosa matangazo
Bora..kuliko kuicha TBC inaongeza hasira.
 
Back
Top Bottom