TBC kuanza kuonesha league mbalimbali na tamthilia

Nrangoo

JF-Expert Member
May 22, 2017
3,351
5,244
Hayo yamesemwa na waziri wa habari Mh Innocent Bashungwa wakati kamati ya bunge ilipotembelea ofisi za TBC leo.

Waziri Bashungwa tiyari ameshatoa maelekezo suala la visimbuzi vya TBC vianze kupatikana pia ameagiza suala la hati miliki la kurusha michezo mbalimbali lifanyiwe kazi haraka.

chanzo ; TBC
 
Kwa mfano kama ligi gani haswaa?

Huyo waziri anataka TBC waonyeshe ligi za kizalendo kama ligi za netball, mpira wa pete, mpira wa wavu, ligi za mchezo wa bao nk.
Ama waziri anataka waonyeshe ligi za mabeberu kama ligi kuu ya England, Spain, Germany, France nk.
 
Aisee watafanya la maana kama wataonyesha ligi za Argentina🇦🇷 , Spain🇪🇦 na Morocco 🇲🇦, ni 🔥🔥🔥
 
Hayo yamesemwa na waziri wa habari Mh Innocent Bashungwa wakati kamati ya bunge ilipotembelea ofisi za TBC leo.

Waziri Bashungwa tiyari ameshatoa maelekezo suala la visimbuzi vya TBC vianze kupatikana pia ameagiza suala la hati miliki la kurusha michezo mbalimbali lifanyiwe kazi haraka.

chanzo ; TBC
Tbc gani inayozungumziwa hapa?
 
Back
Top Bottom